Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Nadhani unaongelea wimbo wa LondonBeat uliotoka mwanzoni mwa miaka ya tisini: kati ya 90 na 91 hivi. Wimbo huu ulipambana sana na wimbo wa bendi nyingine nitauleta baadaye nikiupata.
View: https://www.youtube.com/watch?v=bDwI_cJ7Eds
Kuna huu nilikuwa nauchanganya sana majina
View: https://youtu.be/4WLmWKT3vUA?feature=shared