Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
Silaha kuu ni ukimya la sivyo ningekuwa bachelor kitambo.Hatari, kinachouma ni kwamba unapambana Sana kwa ajili ya familia ila familia inakuongezea stress badala ya kukupa hamasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silaha kuu ni ukimya la sivyo ningekuwa bachelor kitambo.Hatari, kinachouma ni kwamba unapambana Sana kwa ajili ya familia ila familia inakuongezea stress badala ya kukupa hamasa
Inachangia kupata malaya siyo mke...ngoja ziishe ujue tabia ya mkeo.Pesa sio kila kitu ila inachangia
Niliplan nikifikisha miaka 30's nioe ila nikisikia au kusoma neno ndoa nasikia maumivu makali moyoni mwangu ni kama mtu anachoma moyo wangu hata upumuaji wangu unabadilika kabisa, yani hapa nasoma huu uzi nipo kwenye hiyo hali, mleta uzi yupo sahihi kabisa low your expectation binadamu anabadilika muda wowote, ni wanawake wachache sana katika 100 wakiolewa wanakuwa wake kweli ila wengi wao wakiolewa tu wanabadilika wanakuwa wajeuri, viburi, wajuaji, wanafiki, hawana siri ya nyumba mostly wao ndo wanajigeuza wanaume ndani ya nyumba yaani ni vurugu tupu, nafikiri kwa vijana wanaotaka kuoa expectation zikiwa kwenye upande negative mtaweza kutoboa maana tayari utakuwa umeshajiandaa ila ingia kwenye ndoa na positive expectation hautoboi kabisa
Kuoa ni ticket ya kuwahi kufa kwa sonona
Kwakuwaza kwaundani, naona kuishi mwenyewe kuna utulivu kuliko ndoa. Nipo mimi kama mimi napanga ratiba zangu halafu nina amani tele ndani ya nyumba. Upweke upo tu, hata aliyeoa anapitia upweke katika kipindi fulani. Ila hii amani kuipoteza kwakweli naona siwezi.Maisha hayana mteremko kwa namna yeyote ile.
Hata kuuona ufalme wa Mungu ni lazima usotee kumuabudu Mungu.
Ili ule ni lazima jasho likutoke. Ukitaka maisha ya anasa ni lazima ujitume kweli kweli hata kama ni kwa kuiba, unyang'anyi, ufisadi, kuongopa au vinginevyo
Kama unadhani ndoa ni ngumu kuliko upweke basi acha kuoa.
Basi kwasababu hii, kulikua hamna haja ya kucertify na kulegalize mahusiano yenu. Kama hiyo ndio ndoa, basi hata mimi siiwezi. Maana mpaka sasa hata kutongoza wanawake watano sijafikisha nanaonaga kupoteza muda tu.Wanaume wengi huwa hawafahamu kitu muhimu sana anachokikosa mwanamke ndani ya ndoa!! Na kwa kuwa hawakifahamu huwa hawawezi kuwapatia hicho kitu wanachokokosa!! Wanachokosa wanawake walioolewa ni kutongozwa na mwanamume ampendaye!! Ujue kuwa wakati ulipokuwa unamtongoza kabla ya ndoa alikuwa anafurahia sana mtongozo wako!! Je kwa sasa huwa unamtongoza? mwanamke yeyote yule anapenda sana kutongozwa!! hata kama yule anayemtongoza hampendi na hamkubali!! Ile kutongozwa tu inamhakikishia kuwa anavutia na anapendwa!! Wanaume msiache kuwa mnawatongoza wake zenu hata kama mko kwenye ndoa!! tongoza kiaina ili upate mbususu!! toa vizawadi hata kama ni vidogo vidogo ili aendelee kujisikia kuwa anakuvutia!! Kukunyima mbususu maana yake ni kwamba anataka umtongoze!! Ukihitaji huduma yake usisubiri wakati mmeenda chumbani!! anza mapema kmwonyesha dalili kuwa unamhitaji, ongea naye vizuri, mpapase papase vizuri huku ukimwambia jinsi anavyokuvutia, masaa mengi tu kabla ya wakati!! mtoe out hata mahali simple tu mkapata hata soda tu!! Ukiwa naye mwambia kumbe huwa unamiss vitu vizuri sana unapokuwa haunaye karibu!! mnaporudi nyumbani shikaneni mikono ili ajione ni malkia wako mbele ya jamii!! Ukifanya hayo halafu akakunyima mbususu njoo hapa utuambie!! Matokeo yake yatakuwa makubwa sana kuliko unavyofikiria!!
Kwa kweri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Noma kweri kweri