Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Unaweza kuthibitisha kwamba kila aliye na changamoto na matatizo kwenye ndoa, Haku mshirikisha Mungu?Tatizo lenu mnaingia kwene ndoa na akili zenu mnashindwa kumshirikisha Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuthibitisha kwamba kila aliye na changamoto na matatizo kwenye ndoa, Haku mshirikisha Mungu?Tatizo lenu mnaingia kwene ndoa na akili zenu mnashindwa kumshirikisha Mungu
Kuna kitabu kizuri sana natamani ukisome Mkuu na wengine wakisome pia...atakayeweza kushare akiweke tafadhali
Things I wish I'd known before we get Marriage by Gary Chapman
Mkuuu nimecheka kwa sauti
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.
Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.
Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;
1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).
Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.
2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.
3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?
My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.
4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.
Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.
5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.
6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.
Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.
Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.
Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.
Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.
Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?
Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
necked truthBinadamu ni kiumbe chenye akili sana, kinaweza kubadilika muda wowote endapo kitagundua kwamba kinachunguzwa
Teh teh 😂😂😂 umenivunja mbavu mkuu.....

Kinapatikana freeKinapatikana free au Cha kulipia??
I will find it
We Acha tuu na mguu na ndo ugonjwa wanguuMkuu ulivutiwa na mapaja 😆😆😆😆
Pole chief, jali sana furaha yako na afya yako binafsi, usikubali kujitesa au mtu awe sababu ya mateso kwako.That is life am on now broo
Naelewa broo nimekuelewa sanaaPole chief, jali sana furaha yako na afya yako binafsi, usikubali kujitesa au mtu awe sababu ya mateso kwako.
Hujaisha hata, ukiamua kupindua meza inawezekana tu, sema hujiamini ila hujachelewa bado......usikubali kufa kikondoo na kuishi kijinga hivyo.Nalijua hiliii na ndo nimeishaa ndugu yenuu.
Nimepembana shida tuu kujua yule atakae mgonga mkewanguHujaisha hata, ukiamua kupindua meza inawezekana tu, sema hujiamini ila hujachelewa bado......usikubali kufa kikondoo na kuishi kijinga hivyo.
Anza kutafuta furaha yako mapema kuanzia sasa.
We pambana na mkeo huko usitafute faraja hapaUnaweza kuthibitisha kwamba kila aliye na changamoto na matatizo kwenye ndoa, Haku mshirikisha Mungu?
👊👊Hujaisha hata, ukiamua kupindua meza inawezekana tu, sema hujiamini ila hujachelewa bado......usikubali kufa kikondoo na kuishi kijinga hivyo.
Anza kutafuta furaha yako mapema kuanzia sasa.
Namba "4" ndo lilikuwa kosa lako kuu kuliko hayo yote! Na matatizo yalianzia hapo. Itakuchukua karne kurekebisha kosa hilo, hivi sasa unalipia kosa lako hilo namba "4" (nne)