To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Ndo watu wajue kuwa tabia mbaya ni mtu mwenyeweBikra huwa inatolewa siku ya kwanza tu, tabia huwa endelevu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo watu wajue kuwa tabia mbaya ni mtu mwenyeweBikra huwa inatolewa siku ya kwanza tu, tabia huwa endelevu
Watakuja kuuana hawa its just a matter of time. siku akijuwa anachapiwa ni gunia za mkaa tu.Mkuu samahani kwa nitakayoyasema hapa na siombei yakutokee lakini kama hapo ndipo huyu mwanamke kakufikisha, basi utakuja kufa mapema sana aisee. Na kitakachokuua ni presha au mshtuko wa moyo. Pole sana mkuu.
Yours is a typical case kwa nini wanaume huwa tunakufa mapema...
😀😀Sawa sawaUtanisaidia kumkonvisi. Mwambie mwaka hauishi huu 😅
Ngoja nirudii tena chimbo, kuuweka sawa mchongo wenyewe😀😀Sawa sawa
HongeraNnachoshukuru wakati naingia kwenye ndoa sikua na any expectation za juu
Yani i am simply going along with it,kwenye raha nafurahi,kwenye kero nakerekwa then nakumbuka mema and life goes on!
Nimefikisha 11 years kwa style hii,ya mbele siyajui ila namwamini Mungu tutazeeka pamoja!
Bado hujasema....na utasema! 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.
Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.
Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;
1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).
Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.
2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.
3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?
My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.
4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.
Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.
5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.
6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.
Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.
Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.
Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.
Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.
Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?
Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
Hii speed ya ndoa mtaani inatisha kwakweli, na kuna asilimia kubwa ya watu wanaoa kwa kufata upepo ndio maana unakutana na mdada na ana pete ila vitu anafanya unabaki kusema aliyeoa hapa shughuli anayo.Hivi mbono humu mnakosoa sana ndoa lakini mtaani watu wengi wameoa mpaka nawaza sijui nioe tu😁
[emoji848][emoji848][emoji848]Binafsi nilitegemea kwenye ndoa kuna maisha mazuri sana.Mkewangu kalikuwa kazuri kigoli mweupe.
Mapaja yake huchoki kuyatazama kweli, alinidatisha nikaamua kumuoa na kumuweka ndani na kupania kuwa ntakuwa na mtafuna kila siku.Jamani nliyo kutana nayo ni aibu hata kusema hapa jukwaani.Na huu mwaka ndo kawa moto mkali,kubwa kuliko yote hana siri juu ya Chumbani.Hajui lugha ya kuongea na wapi aongee dharau majigambo na kazi yake ndo imekuwa fimbo kabisa katika maisha yangu.
Na hapa kashatafuna miaka 10 ya kuishi nae.
Tuna Nyumba Gari na Miradi ila ndo sina raha nayo.
Yaani nikimuona na mtu basi hapo najua siri zote huyu mtu ataambiwa.
Ndoa ni UTAPELI NARUDIA TENA NDOA NI SHIDA NA ZINA PELEKEA SANA KUARIBU FUTURE YA WENGI.
Maana wanaume wanaishia kwenye ulevi.Na wanawake wanaishia kwenye Udangaji
Umemaliza mkuuMwanamke chini ya miaka 30, au mpaka 32 hivi wanaitaji mapenzi mara nyingi, other factors being constant :
- Sex in marriage is earned, haiji kirahisi, lazima uwekeze amani na maelewano, ukiwa na mwanamke anayenuna nuna na wewe pia huwezi pata sex.
- Usipopewa wewe sex sio kwamba hapati, akipatikana mtu wa kugusa button muhimu atamla tu, kwa hiyo kama huwezi wekeza kupata sex na kumridhisha lazima wanamla.
- Hakuna mwanamke analala na mwanaume week nzima kitanda kimoja asitake sex, labda kama mna ugomvi, na akipata mtu wa kumlegeza atamla tu.
- Wao watabisha, ila kipimo madhubuti cha uaminifu wa mwanamke ni utayari wake wa uitaji wa sex kwa mume wake, huwezi amini, ila huu ni ukweli.
Wanaume tumeumbwa ku negotiate sana na hawa wanawake, hawana muscles ila wana nguvu sana, ukitaka amani na furaha lazima u negotiate.
Kwenye huu uzi naona lawama nyingi zimeenda kwa wanawake huku wanaume wengi sana wakisahau mabadiliko mengi yanayotokea kwenye ndoa wanaume pia wanachangia [emoji124][emoji124][emoji124]
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.
Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.
Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;
1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).
Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.
2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.
3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?
My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.
4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.
Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.
5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.
6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.
Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.
Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.
Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.
Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.
Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?
Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
Expectations killMada nzuri juu ya ulichoandika nimeona ulikua na Highly Expectation..Aisee try to avoid Expectation utaishi kwa amani..dont expect anything from anyone🧚♀️
Seen this too many times..People come into a relationship with their idea of what they think a person should be..rather than accepting who the person is in the moment😊
They also have alot of expectations based on the person being a mind reader.. They assume their style of communication should be comprehensible based from body language and pattern in their behavior😊
And the issue is..their partner have a different way of comprehending interactions🧚♀️
Personally I think people need to accept people for who they are and not assume they will change🧚♀️
Mkuu ulivutiwa na mapaja 😆😆😆😆Binafsi nilitegemea kwenye ndoa kuna maisha mazuri sana.Mkewangu kalikuwa kazuri kigoli mweupe.
Mapaja yake huchoki kuyatazama kweli, alinidatisha nikaamua kumuoa na kumuweka ndani na kupania kuwa ntakuwa na mtafuna kila siku.Jamani nliyo kutana nayo ni aibu hata kusema hapa jukwaani.Na huu mwaka ndo kawa moto mkali,kubwa kuliko yote hana siri juu ya Chumbani.Hajui lugha ya kuongea na wapi aongee dharau majigambo na kazi yake ndo imekuwa fimbo kabisa katika maisha yangu.
Na hapa kashatafuna miaka 10 ya kuishi nae.
Tuna Nyumba Gari na Miradi ila ndo sina raha nayo.
Yaani nikimuona na mtu basi hapo najua siri zote huyu mtu ataambiwa.
Ndoa ni UTAPELI NARUDIA TENA NDOA NI SHIDA NA ZINA PELEKEA SANA KUARIBU FUTURE YA WENGI.
Maana wanaume wanaishia kwenye ulevi.Na wanawake wanaishia kwenye Udangaji
Ameandika pia kitabu kingine thing's I wish I'd known before I got Marriage, kaandika mambo mengi SanaKuna kitabu ameandika jamaa mmoja anaitwa John Gray kinaitwa Men Are from Mars, Women Are from Venus
Humo ndani ameeleza mambo mengi sana kuhusu hizi jinsia mbili jinsi ya kuishi pamoja
Ni kizuri sana
Kuna mambo inabidi uyaelewe ili kuanza kuishi na mwenzio kwa maelewano
Yes jamaaa yupo vizuri sana na ameandika kwa lugha nyepesi inayoelewekaAmeandika pia kitabu kingine thing's I wish I'd known before I got Marriage, kaandika mambo mengi Sana
Kinapatikana free au Cha kulipia??Kuna kitabu kizuri sana natamani ukisome Mkuu na wengine wakisome pia...atakayeweza kushare akiweke tafadhali
Things I wish I'd known before we get Marriage by Gary Chapman
Ombi la kuongelea PM umelitupilia kapuni au hujasoma?😀😀😀Hakuna mbabe wa kukataa Hela 😂