Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.

Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.

Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.

Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;

1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).

Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.

2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.

3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?

My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.

4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.

Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.

5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.

6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.

Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.

Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.

Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.

Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.

Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?

Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
Tatizo, ulikula faida ya NDOA kabla ya ndoa😂😂. Msikilize Mch. Mgogo hapa

Wanaume wengi huwa hawafahamu kitu muhimu sana anachokikosa mwanamke ndani ya ndoa!! Na kwa kuwa hawakifahamu huwa hawawezi kuwapatia hicho kitu wanachokokosa!! Wanachokosa wanawake walioolewa ni kutongozwa na mwanamume ampendaye!! Ujue kuwa wakati ulipokuwa unamtongoza kabla ya ndoa alikuwa anafurahia sana mtongozo wako!! Je kwa sasa huwa unamtongoza? mwanamke yeyote yule anapenda sana kutongozwa!! hata kama yule anayemtongoza hampendi na hamkubali!! Ile kutongozwa tu inamhakikishia kuwa anavutia na anapendwa!! Wanaume msiache kuwa mnawatongoza wake zenu hata kama mko kwenye ndoa!! tongoza kiaina ili upate mbususu!! toa vizawadi hata kama ni vidogo vidogo ili aendelee kujisikia kuwa anakuvutia!! Kukunyima mbususu maana yake ni kwamba anataka umtongoze!! Ukihitaji huduma yake usisubiri wakati mmeenda chumbani!! anza mapema kmwonyesha dalili kuwa unamhitaji, ongea naye vizuri, mpapase papase vizuri huku ukimwambia jinsi anavyokuvutia, masaa mengi tu kabla ya wakati!! mtoe out hata mahali simple tu mkapata hata soda tu!! Ukiwa naye mwambia kumbe huwa unamiss vitu vizuri sana unapokuwa haunaye karibu!! mnaporudi nyumbani shikaneni mikono ili ajione ni malkia wako mbele ya jamii!! Ukifanya hayo halafu akakunyima mbususu njoo hapa utuambie!! Matokeo yake yatakuwa makubwa sana kuliko unavyofikiria!!
Muda wa kufanya hayo yote ndio kipengele

Tuna jukumu kubwa la kutafuta pesa na maendeleo kwa ajili yao
 
That lady she's never loves you,women likes sex vividily to man has feeling with.You've too much expectation on marriage.You 'll struggle on that union untill your last breath!
It' s matter of time, I will take Strong decisions
 
Kosa lako liko hapo namba 5. Yaani umeoa ili umfanye huyo mwanamke kuwa business partner badala ya kumzalisha haraka haraka? Mwanamke kazi yake kuu kwenye ndoa ni kuzaa watoto na kuwalea... hata hela hatakiwi kutafuta sema tu dunia imebadilika. Anatakiwa afanye kazi za nyumbani tu. Kuokoa hiyo ndoa yako hakikisha unampa mimba haraka iwezekanavyo.
Swala la kuzaa ni mipango, sio kila anayeoa anahitaji apate mtoto haraka haraka

Jambo la msingi, nilimuambia kabla na akakubali unless angekataa ningefanya maamuzi mengine
 
Huyu mleta mada ni mjinga sana. Mwanamke anamwambia anataka wazae yeye anadai yuko bize kutengeneza maisha.. kulikuwa na haja gani ya kumuoa?
Unadhani lengo la ndoa ni kuzaa tu??

Kila mtu ana mipango yake katika ndoa.

Pia si kila mtu ana plan yake ya kutengeneza familia

Jambo la msingi nilimuambia uhalisia wangu, angenikatalia mapema

Lakini kukubali halafu anakuja kukataa baada ya kuolewa ni usaliti.
 
Mtaani watu hawapendi kuonekana kama wanapitia magumu ktk ndoa ila wengi wanavumilia. Hapa kuna utambulisho wa bandia watu wapo huru kuongea ukweli. Usipuuze hata moja aliloandika mtoa mada kabla hujaingia huko.
Ale vyuma hivyo😂😂😂

Asije kusema hajaambiwa
 
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.

Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.

Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.

Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;

1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).

Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.

2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.

3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?

My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.

4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.

Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.

5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.

6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.

Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.

Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.

Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.

Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.

Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?

Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
Pole
 
Swala la kuzaa ni mipango, sio kila anayeoa anahitaji apate mtoto haraka haraka

Jambo la msingi, nilimuambia kabla na akakubali unless angekataa ningefanya maamuzi mengine
Unavyonibishia ndo unazidi kuonyesha madhaifu yako. Wewe unadhani akili za mwanamke ni kama zako? Hivi pia ndo unavyombishia mkeo... acha aendelee kukunyima papuchi na wahuni wamtundike mimba. Acha ujinga aisee
 
Back
Top Bottom