Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Mkuu samahani kwa nitakayoyasema hapa na siombei yakutokee lakini kama hapo ndipo huyu mwanamke kakufikisha, basi utakuja kufa mapema sana aisee. Na kitakachokuua ni presha au mshtuko wa moyo. Pole sana mkuu.

Yours is a typical case kwa nini wanaume huwa tunakufa mapema...
Mpwa Leo miwa day😀😀😀
Salama lakin
 
Nilioa kipindi ambacho kwanza sikuwaza kama nitaoa mapema kwa sababu nilikua nishapata mtoto kipindi ambacho bado nilikua najitafuta na maisha yaani katika 24+ nilikua nishapata mtoto nikasema sasa nitulie nisake maisha mipango ya kuoa nikasema mpaka ikifika 30+ huko.
Nikiwa katika 27+binti niliezaa nae akawa amekomaa nimuoe kwa sababu tulikua tunaishi pamoja,amani ndani hakuna tena ukichelewa kurudi kelele,ukiwahi kurudi kelele,ukifanya hivi ni shida na kelele mwanzo mwisho,nikiwa nawaza nimuoe au nimpige chini mzee siku hiyo akanipigia sim maongezi yetu yakawa hivi baada ya salam

Mzee:unaishi na mtoto wa watu na tayari amekuzalia mtoto vipi una mpango nae gani

Mimi:Kwa sasa sina mpango wowote tunaishi tu

Mzee:ili uwe mwanaume kamili lazima uwe na mipango na maamuzi

Mimi:sawa nimekuelewa

Mzee:najua umenielewa ila hujanielewa kama ninavyokusudia

Mimi:kwa nini

Mzee:kama bado unamuhitaji huyo mwanamke fanya mpango ndani ya mwaka huu umuoe na pia kama humuhitaji fanya linalowezekana ndani ya miezi mitatu ijayo uwe umeshaachana nae

Maongezi yangu na mzee yakaisha hivyo hapo ilikua mwezi wa nne

Basi baada ya kipindi kupita ndani ya huo mwaka nikaja kumuoa

Kiukweli baada ya kumuoa mambo mengi sana yalibadilika mpaka nasema kumbe nisingemuoa huwenda nisingepata kama yeye tena

1)kuhusu mbususu hapa nilipewa yote bila kubaniwa tofauti na kipindi kile,ilikua ukitaka mbususu unaskia nenda kwa huyo aliekutumia sms,mara mtoto bado mdogo hivyo ikawa inapelekea kua na mpango wa kando tofauti tulivyopata wa mtoto pili kila kitu kiliwezekana

2)alivyojifungua mtoto wa kwanza alikua hafui nguo zangu akidai kazi nyingi hawezi au amechoka nami nikawa najifulia zangu kwa kua kufua kwangu halijawahi kua tatizo mpaka leo ila baada ya kumuoa mambo yalibadilika hivyo vyote akawa anavifanya yeye mwenyewe hata tulipopata mtoto wa pili nikawa namuonea huruma nimtafutie msaidizi wa kazi lakini alikataa akawa anafanya mwenyewe mpaka leo na hapo sio mama wa nyumbani kama mwanzo kuna ka kabiashara nimemfungulia

Yapo mengi ambayo alikua ananikwaza ila baada ya kumuoa mengi sana alibadilika tena bila hata ya kukaa chini na kumwambia mpaka wa leo nashindwa kuelewa ulikua ni utoto au alikua anafanya kusudi basi nikikaa kijiweni au nikisoma makala mitandaoni kama hivi nikiskia mikasa ya watu wanavyoishi na wake zao au mwingine akikusimulia changamoto umsaidie mawazo ya kiushauri unashindwa hata uanzie wapi maana kwako havipo kabisa, mpaka washkaji wanahisi wewe ni msiri sana kwamba ww hukutani na changamoto ktk ndoa yako muda mwingine unatunga stori ili mradi waone wote mnapitia misala lakini kwako haipo kabisa.

Naweza sema nilitarajia kutana na zile kelele lakini mambo yamekua tofauti kabisa na ndio maana namuona wakipekee sana sijui huko mbele ya safari,miaka 10 sasa kwenye ndoa mambo bado ni mazuri
Zije na stori za hiv, sio negative tuu.
 
Katika harakati za kusoma psychology, nilikutana na kipengele kikielezea kwa nini wanasaikolojia huwa wanatumia wanyama katika majaribio yao na si wanadamu

Mfano mzuri, experiment ya mbwa na kengele (conditional reflex action - kwa wanabailojia)

Sababu wakasema " Human being is a intelligent and complex creature, He can change any time whenever he discovers that he is investigated.

Binadamu ni kiumbe chenye akili sana, kinaweza kubadilika muda wowote endapo kitagundua kwamba kinachunguzwa
Complex creature[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kinaweza kukuonyesha wrong signals kwa makusudi ili akuingize chaka
 
I thought mbususu would available any time t, niliwaza kitoto sana. Upo kwa ndoa lakini unaweza kunyimwa tu kama kawaida na ukalala na ugwadu wako aiseee!

I thought I was marrying her, kumbe nimekusanya familia mbili na yangu ya tatu, noma sana.
😃😃😃 Vijana inabidi walijue hili kabla ya ndoa
 
Back
Top Bottom