Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Eh hayaEveryone dream.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh hayaEveryone dream.
Usiogope, inaweza kuwa kweli.Eh haya
Hata wanasiasa huwa wanatupa ahadi Kama hizi kipindi Cha uchaguzi ila baada ya uchaguzi mambo huwa tofautiMi naolewa namtu ambaye nitampa mapenzi matamu nitapata penzi tamu sana hadi achanganyikiwe
😂😂😂😂 unaianzia mbaaaaliMi navo iomba huwa nalia kama Beberu,🐐..yaaani we acha tu😊
😀😀😀Hakuna mbabe wa kukataa Hela 😂Mwambie bi Mkubwa ule mchongo niliokuwa nausikilizia, upo njiani kutiki. Asipokee posa yoyote, isipokuwa yangu 😅😅
Kuna mwamba kasema anaweka booking labda umuwahi😀Aaliyah kipenzi... naomba mimi na wewe tutimize nusu ya dini. Au tayari wameshawahi? 🥺
Kimsingi hakuna formula maalumuKuna changamoto nyingine umri wa makamo.
Wakati wake wameshapoteza mvuto wa ujana. Wanaume wengi huanza kutoka na wanawake wenye umri mdogo utakuta anampangia hadi geto au nyumba.
Hiki ndio kipindi wanawake wengi husalitiwa sana na waume zao
Utanisaidia kumkonvisi. Mwambie mwaka hauishi huu 😅😀😀😀Hakuna mbabe wa kukataa Hela 😂
Mada nzuri juu ya ulichoandika nimeona ulikua na Highly Expectation..Aisee try to avoid Expectation utaishi kwa amani..dont expect anything from anyone🧚♀️
Seen this too many times..People come into a relationship with their idea of what they think a person should be..rather than accepting who the person is in the moment😊
They also have alot of expectations based on the person being a mind reader.. They assume their style of communication should be comprehensible based from body language and pattern in their behavior😊
And the issue is..their partner have a different way of comprehending interactions🧚♀️
Personally I think people need to accept people for who they are and not assume they will change🧚♀️
You are well notedMada nzuri juu ya ulichoandika nimeona ulikua na Highly Expectation..Aisee try to avoid Expectation utaishi kwa amani..dont expect anything from anyone🧚♀️
Seen this too many times..People come into a relationship with their idea of what they think a person should be..rather than accepting who the person is in the moment😊
They also have alot of expectations based on the person being a mind reader.. They assume their style of communication should be comprehensible based from body language and pattern in their behavior😊
And the issue is..their partner have a different way of comprehending interactions🧚♀️
Personally I think people need to accept people for who they are and not assume they will change🧚♀️
Kweli kabisaAmbia moyo wako kuwa chochote kinaweza kutokea kwenye ndoa yako ,hivyo utakuwa tayar kukabiliana na matatizo yote yanayoweza jitokeza tena kwa nidhamu ...naukawa mshindi mwisho wa siku . Kataa roho chafu ndugu
Siku ukimgegeda ukapime 😅Una umri gani mkuu, mm sikumbuki wife nlimgegeda mwaka gani
Sikukatishi tamaa lakini nasikitika kukuambia hiyo ndoa yako siyo ndoa. Narudia tena siyo ndoa na sidhani kama itadumu. Inaonekana huyo mwenza wako hamuendani kabisa na pengine ulilazimisha kumuoa na yeye huenda alikubali tu ili mradi aolewe. Hiyo indicator ya kusema unapangiwa siku za sex tena ndoa bado mpya kabisa ni kidhibitisho kuwa mwanamke haridhiki na wewe.
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.
Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.
Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;
1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).
Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.
2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.
3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?
My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.
4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.
Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.
5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.
6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.
Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.
Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.
Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.
Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.
Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?
Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
Tunaweza ku-switch haya maongezi kutoka kwenye Comments kwenda PM tafadhali?Kuna mwamba kasema anaweka booking labda umuwahi😀
Na huyo mwamba ni nani?! Glenn au?! 😃😃😃Kuna mwamba kasema anaweka booking labda umuwahi😀
yaa umeongea UKWELI wa 80 asilimia ya ndoa nyingi hapo ndipo neno upendo linapoleta maana kama unampenda sana utakua ukisamehe na kujifanya huyaoni yote hayo mabaya kwa ukubwa
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.
Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.
Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;
1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo).
Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.
2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.
3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?
My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.
4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.
Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.
5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.
6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.
Baada ya kuoa ndio nimegundua kwanini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.
Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.
Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.
Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.
Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?
Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
😃😃😃😃 Hatari na ½Complex creature[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kinaweza kukuonyesha wrong signals kwa makusudi ili akuingize chaka
Bikra huwa inatolewa siku ya kwanza tu, tabia huwa endelevuKumbe na mabikra ni wasumbufu?
Katika vitu ambavyo sitacheka naye, kwenye Hilo la kuchepukaUnavyonibishia ndo unazidi kuonyesha madhaifu yako. Wewe unadhani akili za mwanamke ni kama zako? Hivi pia ndo unavyombishia mkeo... acha aendelee kukunyima papuchi na wahuni wamtundike mimba. Acha ujinga aisee
Unavyonibishia ndo unazidi kuonyesha madhaifu yako. Wewe unadhani akili za mwanamke ni kama zako? Hivi pia ndo unavyombishia mkeo... acha aendelee kukunyima papuchi na wahuni wamtundike mimba. Acha ujinga aisee
Sasa hizo falsafa zako zitafanya majamaa wamtafune mkeo. Kama papuchi hakupi jua kuna mtu anapewa bure9
Hakuna haja ya kuishi na mwanamke asiyefuata falsafa zangu
Ni swala la muda tu