Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Mtoa mada kula chuma
255746510577_status_deb86e8c4cdf4dde89872c3ba8f0a985.jpg


Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Nilioa kipindi ambacho kwanza sikuwaza kama nitaoa mapema kwa sababu nilikua nishapata mtoto kipindi ambacho bado nilikua najitafuta na maisha yaani katika 24+ nilikua nishapata mtoto nikasema sasa nitulie nisake maisha mipango ya kuoa nikasema mpaka ikifika 30+ huko.
Nikiwa katika 27+binti niliezaa nae akawa amekomaa nimuoe kwa sababu tulikua tunaishi pamoja,amani ndani hakuna tena ukichelewa kurudi kelele,ukiwahi kurudi kelele,ukifanya hivi ni shida na kelele mwanzo mwisho,nikiwa nawaza nimuoe au nimpige chini mzee siku hiyo akanipigia sim maongezi yetu yakawa hivi baada ya salam

Mzee:unaishi na mtoto wa watu na tayari amekuzalia mtoto vipi una mpango nae gani

Mimi:Kwa sasa sina mpango wowote tunaishi tu

Mzee:ili uwe mwanaume kamili lazima uwe na mipango na maamuzi

Mimi:sawa nimekuelewa

Mzee:najua umenielewa ila hujanielewa kama ninavyokusudia

Mimi:kwa nini

Mzee:kama bado unamuhitaji huyo mwanamke fanya mpango ndani ya mwaka huu umuoe na pia kama humuhitaji fanya linalowezekana ndani ya miezi mitatu ijayo uwe umeshaachana nae

Maongezi yangu na mzee yakaisha hivyo hapo ilikua mwezi wa nne

Basi baada ya kipindi kupita ndani ya huo mwaka nikaja kumuoa

Kiukweli baada ya kumuoa mambo mengi sana yalibadilika mpaka nasema kumbe nisingemuoa huwenda nisingepata kama yeye tena

1)kuhusu mbususu hapa nilipewa yote bila kubaniwa tofauti na kipindi kile,ilikua ukitaka mbususu unaskia nenda kwa huyo aliekutumia sms,mara mtoto bado mdogo hivyo ikawa inapelekea kua na mpango wa kando tofauti tulivyopata wa mtoto pili kila kitu kiliwezekana

2)alivyojifungua mtoto wa kwanza alikua hafui nguo zangu akidai kazi nyingi hawezi au amechoka nami nikawa najifulia zangu kwa kua kufua kwangu halijawahi kua tatizo mpaka leo ila baada ya kumuoa mambo yalibadilika hivyo vyote akawa anavifanya yeye mwenyewe hata tulipopata mtoto wa pili nikawa namuonea huruma nimtafutie msaidizi wa kazi lakini alikataa akawa anafanya mwenyewe mpaka leo na hapo sio mama wa nyumbani kama mwanzo kuna ka kabiashara nimemfungulia

Yapo mengi ambayo alikua ananikwaza ila baada ya kumuoa mengi sana alibadilika tena bila hata ya kukaa chini na kumwambia mpaka wa leo nashindwa kuelewa ulikua ni utoto au alikua anafanya kusudi basi nikikaa kijiweni au nikisoma makala mitandaoni kama hivi nikiskia mikasa ya watu wanavyoishi na wake zao au mwingine akikusimulia changamoto umsaidie mawazo ya kiushauri unashindwa hata uanzie wapi maana kwako havipo kabisa, mpaka washkaji wanahisi wewe ni msiri sana kwamba ww hukutani na changamoto ktk ndoa yako muda mwingine unatunga stori ili mradi waone wote mnapitia misala lakini kwako haipo kabisa.

Naweza sema nilitarajia kutana na zile kelele lakini mambo yamekua tofauti kabisa na ndio maana namuona wakipekee sana sijui huko mbele ya safari,miaka 10 sasa kwenye ndoa mambo bado ni mazuri
Sorry Mkeo ana umri gani?
 
Pesa inaleta furaha kwa familia sana tu ni kama chumvi kwenye mboga
Siyo kwa muda wote!! Unaweza kumpa pesa na akatafuta ki-ben ten kwa pesa yako hiyo hiyo!! Kuna mtu namkumbuka alikuwa na pesa za kumtosha kabisa. Akaajiri dereva binafsi wa familia!! Asubuhi dreva wake anampeleka kazini na jioni anamfuata. Dreva alikuwa anarudisha gari nyumbani baada ya kumpeleka boss wake kazini. Akiwa nyumbani dreva kazxi yake ni kumwendesha mama popote anapotaka kwenda, saloon, sokoni, madukani, nk. Kilichotokea huyu dreva ndo akawa kipenzi cha mama!! akipewa pesa na mumewe naye anamgawia huyu kijana!!! Hatimaye mzee alikuja kuambiwa kinachoendelea, naye akaamua kutumia utu uzima akamezea tu, na kujifanya kusema mnamsingizia mke wangu!! hapo pesa yake imemletea furaha au?
 
I thought mbususu would available any time t, niliwaza kitoto sana. Upo kwa ndoa lakini unaweza kunyimwa tu kama kawaida na ukalala na ugwadu wako aiseee!

I thought I was marrying her, kumbe nimekusanya familia mbili na yangu ya tatu, noma sana.
 
I thought mbususu would available any time t, niliwaza kitoto sana. Upo kwa ndoa lakini unaweza kunyimwa tu kama kawaida na ukalala na ugwadu wako aiseee!

I thought I was marrying her, kumbe nimekusanya familia mbili na yangu ya tatu, noma sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji850]
 
Hoja nyingi ni zilezile tu na wahanga wakubwa wanakuwa wanaume kwa kunyimwa mbususu, wanawake wanajua hiyo ndio silaha kubwa kwao dhidi ya mwanaume.

Mbona kuna maudhi mengi tu kwa wanaume ila hawaachi kuhudumia??

Ukweli ni kwamba, wanawake huwa wanafosi Sana kuolewa ila wakiolewa wanachezea ndoa,


Wakati wao wanaleta uhuni wa kunyima mgegedo, sisi huwa tunaamua kuchukua Sheria mkononi ikiwemo kuvunja mahusiano

Mwisho wa siku, single mothers ndio product kubwa.

Pia ishu ya pesa, Ina nafasi kubwa pia ya majanga mengi katika ndoa, wanawake wengi huoenda kuishi kimaigizo, zaidi ya uwezo wa waume zao

NOTE: Sometimes wanaume ndio wakorofi,
Lakin mwisho wasiku maisha hayafanani na Mhanga hawez kusema ukweli makosa yake had wakafika huko Kila mtu hajakamilika
 
I thought mbususu would available any time t, niliwaza kitoto sana. Upo kwa ndoa lakini unaweza kunyimwa tu kama kawaida na ukalala na ugwadu wako aiseee!

I thought I was marrying her, kumbe nimekusanya familia mbili na yangu ya tatu, noma sana.
😂😂😂Wape vijana solution wakinyimwa wafanyaje😀😀
 
Wanaume wengi huwa hawafahamu kitu muhimu sana anachokikosa mwanamke ndani ya ndoa!! Na kwa kuwa hawakifahamu huwa hawawezi kuwapatia hicho kitu wanachokokosa!! Wanachokosa wanawake walioolewa ni kutongozwa na mwanamume ampendaye!! Ujue kuwa wakati ulipokuwa unamtongoza kabla ya ndoa alikuwa anafurahia sana mtongozo wako!! Je kwa sasa huwa unamtongoza? mwanamke yeyote yule anapenda sana kutongozwa!! hata kama yule anayemtongoza hampendi na hamkubali!! Ile kutongozwa tu inamhakikishia kuwa anavutia na anapendwa!! Wanaume msiache kuwa mnawatongoza wake zenu hata kama mko kwenye ndoa!! tongoza kiaina ili upate mbususu!! toa vizawadi hata kama ni vidogo vidogo ili aendelee kujisikia kuwa anakuvutia!! Kukunyima mbususu maana yake ni kwamba anataka umtongoze!! Ukihitaji huduma yake usisubiri wakati mmeenda chumbani!! anza mapema kmwonyesha dalili kuwa unamhitaji, ongea naye vizuri, mpapase papase vizuri huku ukimwambia jinsi anavyokuvutia, masaa mengi tu kabla ya wakati!! mtoe out hata mahali simple tu mkapata hata soda tu!! Ukiwa naye mwambia kumbe huwa unamiss vitu vizuri sana unapokuwa haunaye karibu!! mnaporudi nyumbani shikaneni mikono ili ajione ni malkia wako mbele ya jamii!! Ukifanya hayo halafu akakunyima mbususu njoo hapa utuambie!! Matokeo yake yatakuwa makubwa sana kuliko unavyofikiria!!
 
Halafu mnalala kitanda kimoja!! tafadhali, tafadhali, tafadhali!! Haiwezekani, labda kama mmetengana kabisa au mmetengana vyumba!!Mwanamke hata kama haspendi, kipindi akiwa kwenye ovulation/kipindi yai lake linaanguliwa, utelezi hutoka wenyewe!! hana jeuri ya kuuzuia, na genye kipindi hicho ni automatic!! kwa hiyo kama mmelala kitanda kimoja tumias lugha ya vitendo!! atakushukuru kimoyomoyo hata kama amekasirika!! Cha maana ni kuzijua dalili za mwanamke akiwa kwenye ovulation!! (mnisamehe ke kwa kuanika siri yenu ya kambi!)
Kama mwanamke hana hisia na wewe hata umvizie kwenye ovulation hatokupa kei, na huo ute unaweza kukata kwa muda, acha kabisa mwanamke akikuwekea kinyongo kwenye mapenzi ndo imetoka hiyo, yupo tayari akajikojoze kwa kidole na wewe ukiwa umelala kando yake
 

Habarini za Nane Nane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.

Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.

Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na sasa nina mwaka wa pili katika ndoa.

Baada ya kuingia kwenye ndoa kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo ni;

1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo)
Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk.

2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.

3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi sasa password kitu gani?
My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.

4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani
Miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata mia.

Hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali.

5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.

6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.

Baada ya kuoa ndio nimegundua kwa nini watu wengi huwaacha wake/waume zao wazuri.

Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.

Vijana wa Kataa Ndoa Wana hoja, wasikilizwe japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Tujipange sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka.

Binafsi nilifanya research sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.

Jambo gani ulidhani utalikuta kwenye ndoa ila hujalikuta?

Jambo gani ulipanga ungefanya katika ndoa ila baada ya ndoa hutamani kufanya tena?
That lady she's never loves you,women likes sex vividily to man has feeling with.You've too much expectation on marriage.You 'll struggle on that union untill your last breath!
 
Maombi yanaendelea na unapewa kulingana na mood yake sio yako. Upwiru kukaba koo ni uhakika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanamke kulipa K yake anaangalia mambo matatu

Mood
Muda
Mode

Kimoja kikikosekana hapo ujue hupati kitu, wajanja tunaanza na MODE tunahakikisha mode inakua activated kwa ku supply miamala ya uhakika ,hayo mengine ya mood na muda ataya set mwenyewe

Asikudanganye Mtu kwa dunia ya sasa hakuna mwanamke mwenye msimamo ,kama huamini jaribu kutumia hii mbinu ya ku activate mode yake ,lazima umle tuu
 
Kosa lako liko hapo namba 5. Yaani umeoa ili umfanye huyo mwanamke kuwa business partner badala ya kumzalisha haraka haraka? Mwanamke kazi yake kuu kwenye ndoa ni kuzaa watoto na kuwalea... hata hela hatakiwi kutafuta sema tu dunia imebadilika. Anatakiwa afanye kazi za nyumbani tu. Kuokoa hiyo ndoa yako hakikisha unampa mimba haraka iwezekanavyo.
 
Wanaume wengi huwa hawafahamu kitu muhimu sana anachokikosa mwanamke ndani ya ndoa!! Na kwa kuwa hawakifahamu huwa hawawezi kuwapatia hicho kitu wanachokokosa!! Wanachokosa wanawake walioolewa ni kutongozwa na mwanamume ampendaye!! Ujue kuwa wakati ulipokuwa unamtongoza kabla ya ndoa alikuwa anafurahia sana mtongozo wako!! Je kwa sasa huwa unamtongoza? mwanamke yeyote yule anapenda sana kutongozwa!! hata kama yule anayemtongoza hampendi na hamkubali!! Ile kutongozwa tu inamhakikishia kuwa anavutia na anapendwa!! Wanaume msiache kuwa mnawatongoza wake zenu hata kama mko kwenye ndoa!! tongoza kiaina ili upate mbususu!! toa vizawadi hata kama ni vidogo vidogo ili aendelee kujisikia kuwa anakuvutia!! Kukunyima mbususu maana yake ni kwamba anataka umtongoze!! Ukihitaji huduma yake usisubiri wakati mmeenda chumbani!! anza mapema kmwonyesha dalili kuwa unamhitaji, ongea naye vizuri, mpapase papase vizuri huku ukimwambia jinsi anavyokuvutia, masaa mengi tu kabla ya wakati!! mtoe out hata mahali simple tu mkapata hata soda tu!! Ukiwa naye mwambia kumbe huwa unamiss vitu vizuri sana unapokuwa haunaye karibu!! mnaporudi nyumbani shikaneni mikono ili ajione ni malkia wako mbele ya jamii!! Ukifanya hayo halafu akakunyima mbususu njoo hapa utuambie!! Matokeo yake yatakuwa makubwa sana kuliko unavyofikiria!!
Huyu mleta mada ni mjinga sana. Mwanamke anamwambia anataka wazae yeye anadai yuko bize kutengeneza maisha.. kulikuwa na haja gani ya kumuoa?
 
Hivi mbono humu mnakosoa sana ndoa lakini mtaani watu wengi wameoa mpaka nawaza sijui nioe tu😁
Mtaani watu hawapendi kuonekana kama wanapitia magumu ktk ndoa ila wengi wanavumilia. Hapa kuna utambulisho wa bandia watu wapo huru kuongea ukweli. Usipuuze hata moja aliloandika mtoa mada kabla hujaingia huko.
 
Mkuu samahani kwa nitakayoyasema hapa na siombei yakutokee lakini kama hapo ndipo huyu mwanamke kakufikisha, basi utakuja kufa mapema sana aisee. Na kitakachokuua ni presha au mshtuko wa moyo. Pole sana mkuu.

Yours is a typical case kwa nini wanaume huwa tunakufa mapema...

Yani alipofika Sijui ana uwivu nae nimejikuta namuonea huruma sasa,huyu atakufa mapema asipo badilika
Kumbe kuna wanaume weak kiasi hiki
 
Back
Top Bottom