Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Hoja nyingi ni zilezile tu na wahanga wakubwa wanakuwa wanaume kwa kunyimwa mbususu, wanawake wanajua hiyo ndio silaha kubwa kwao dhidi ya mwanaume.

Mbona kuna maudhi mengi tu kwa wanaume ila hawaachi kuhudumia??

Ukweli ni kwamba, wanawake huwa wanafosi Sana kuolewa ila wakiolewa wanachezea ndoa,


Wakati wao wanaleta uhuni wa kunyima mgegedo, sisi huwa tunaamua kuchukua Sheria mkononi ikiwemo kuvunja mahusiano

Mwisho wa siku, single mothers ndio product kubwa.

Pia ishu ya pesa, Ina nafasi kubwa pia ya majanga mengi katika ndoa, wanawake wengi huoenda kuishi kimaigizo, zaidi ya uwezo wa waume zao

NOTE: Sometimes wanaume ndio wakorofi,
Pesa inaleta furaha kwa familia sana tu ni kama chumvi kwenye mboga
 
Na ninawivu nae shida inakuja kumuacha siwezi na nikisema namuacha sito weza vumilia nikigundua kuna mwanaume anatembea nae.
Mkuu samahani kwa nitakayoyasema hapa na siombei yakutokee lakini kama hapo ndipo huyu mwanamke kakufikisha, basi utakuja kufa mapema sana aisee. Na kitakachokuua ni presha au mshtuko wa moyo. Pole sana mkuu.

Yours is a typical case kwa nini wanaume huwa tunakufa mapema...
 
Katika harakati za kusoma psychology, nilikutana na kipengele kikielezea kwa nini wanasaikolojia huwa wanatumia wanyama katika majaribio yao na si wanadamu

Mfano mzuri, experiment ya mbwa na kengele (conditional reflex action - kwa wanabailojia)

Sababu wakasema " Human being is a intelligent and complex creature, He can change any time whenever he discovers that he is investigated.


Binadamu ni kiumbe chenye akili sana, kinaweza kubadilika muda wowote endapo kitagundua kwamba kinachunguzwa
True thus kwenye uchumba watu usificha sana Tabia ili wasichunguzwe madhaifu yao
 
Mkuu samahani kwa nitakayoyasema hapa na siombei yakutokee lakini kama hapo ndipo huyu mwanamke kakufikisha, basi utakuja kufa mapema sana aisee. Na kitakachokuua ni presha au mshtuko wa moyo. Pole sana mkuu.

Yours is a typical case kwa nini wanaume huwa tunakufa mapema...
Dah kabisa na iko Siku hii game nitahitimisha kwa ukatili ambao Dunia itasimama.
 
Binafsi nilitegemea kwenye ndoa kuna maisha mazuri sana.Mkewangu kalikuwa kazuri kigoli mweupe.
Mapaja yake huchoki kuyatazama kweli, alinidatisha nikaamua kumuoa na kumuweka ndani na kupania kuwa ntakuwa na mtafuna kila siku.Jamani nliyo kutana nayo ni aibu hata kusema hapa jukwaani.Na huu mwaka ndo kawa moto mkali,kubwa kuliko yote hana siri juu ya Chumbani.Hajui lugha ya kuongea na wapi aongee dharau majigambo na kazi yake ndo imekuwa fimbo kabisa katika maisha yangu.

Na hapa kashatafuna miaka 10 ya kuishi nae.
Tuna Nyumba Gari na Miradi ila ndo sina raha nayo.
Yaani nikimuona na mtu basi hapo najua siri zote huyu mtu ataambiwa.
Ndoa ni UTAPELI NARUDIA TENA NDOA NI SHIDA NA ZINA PELEKEA SANA KUARIBU FUTURE YA WENGI.

Maana wanaume wanaishia kwenye ulevi.Na wanawake wanaishia kwenye Udangaji
That's is why i love Jf
 
Hizo ndo hasara za kuoa mke mmoja....akiumwa nawe unaumwa akiwa p nawe unakuwa p....

Ila wakiwa wawili au watatu huyu akinuna unahamia uku adi akili itamkaa sawaa.....

Dawa ya mwanamke ni mwanamke.....hisia za wanawake kama moto zinazimwa na moto
Hapo kweli sema wake wawili na uchumi huu😞😞
 
Back
Top Bottom