Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Ulitegemea nini kwenye ndoa ila baada ya kuingia mambo yakawa tofauti?

Watu hawana sababu za msingi kwa nini wana oa au olewa hili swali niliwahi uliza humu mpaka leo sijapata majibu ya kuridhisha.

Hakuna kitu cha msingi ndani ya ndoa ambacho nje ya ndoa utakosa.

Mpaka sasa nipende kuhitimisha kuwa ndoa ni useless, vijana wana oa na kuolewa kwa kufuata mkumbo wa jamii za kiafrika hawana sababu za msingi kabisa kwa nini wana oa au kuolewa.
 
Sio kweli mkuu wanawake wanapenda sex kukiko wanaume na wanafanya sana tu, ila tu wao wanatafsiri sex kwa zawadi yaan ukimla lazima umpe chochote kile ndo huko chini patafunguka uingie ila unasigina halafu unaondoka hivihici hupati kitu.
Wanapenda sex sana kwa wanaume wawapendao na wenye hisia nao kweli kweli, tofauti na hapo ni kuigizaigiza na usumbufu kwenye sex kama mke wa muanzisha thread.
 
Habarini za nanenane wana jamii forum, moja kwa moja niende kwenye mada

Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.

Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, Jambo ambalo lilinipa hamasa ya kupambana ili nioe, na kweli nikaoa na Sasa nina mwaka wa pili katika ndoa

Baada ya kuingia kwenye ndoa Kuna baadhi ya mambo ambayo nilipanga nisiyafanye ila nimejikuta nayafanya, Kuna mambo mengi nilipanga niyafanye ila nimejikuta siyafanyi. Pia Kuna baadhi ya mambo nilidhani nitayakuta ila sijayakuta Kama nilivyodhani. Baadhi ya hayo

1. Nilikuwa nadhani ndoa ingekuja kuwa suluhisho la upwiru (kupata mbususu kila nitakapo)
_ Binafsi nilikuwa nadhani ningepata mbususu kila ninapohitaji ukiachilia mke akiwa period au mgonjwa lakini si kweli, unaweza ukakosa utelezi wiki hadi mwezi mzima kwa sababu zisizo na msingi hasa makasiriko, mwanamke kutojisikia nk

2. Nilitegemea mapenzi yetu yangekuwa Kama ya kwenye movie yale (masiharamasihara, mzaha, utani, kuchezacheza nk) ila najikuta muda mwingi tupo kwenye makasiriko na kununiana.

3. Niliapa kuwa password ya simu yangu lazima mke wangu aijue na sitakuwa na haja ya kumficha, ikiwa nitamuonesha Abdallah kichwa wazi Sasa password kitu gani??

_ My friends, ilinichukua mwezi mmoja tu kubadilisha password na mpaka Sasa kila mtu anatumia simu yake tu, kila mtu hajui password ya mwenzake.

4. Nilikuwa nasema, nitakuwa muwazi katika kipato changu, yaani atajua mwisho wa mwezi napata kiasi gani

_ miezi mitatu ya mwanzoni nilijaribu kumuambia pesa ninayopata kwa mwezi (nilipunguza), baada ya kuweka ile amount yote akapangilia kwenye matumizi ya nyumbani, na mimi nikamuacha tu, Cha ajabu zimepita siku tano tu mara anataka nimnunulie hiki, Mara kile wakati pesa zote zimeenda kwenye ratiba ya home na sikuchukua hata Mia
_ hapo nikaapa mshahara wangu utakuwa Siri yangu, nikavunja msimamo wangu wa awali

5. Kabla ya ndoa tulipanga mipango ya kimaendeleo hasa biashara, na tulipanga ili mambo yaende vizuri inabidi tusizae mapema (maana yeye ndiye inabidi asimamie shoo), Cha ajabu mwezi wa kwanza tu anadai anataka mtoto, mambo ya maisha yapo tu.

6. Kwa kusisitiza, nilidhani mbususu itakuwa available muda mwingi kwangu, ila ukweli ni kwamba wanawake wengi hawapendi kufanya mapenzi Kama tunavyotaka sisi wanaume, wanawake wengi wanahitaji kufanya mapenzi mara chache ikiwezekana wiki Mara moja au mbili, japo wanaume wengi (vijana) huwa tunapenda shoo kila siku.

Baada ya kuoa ndio nimegundua kwa nini watu wengi huwaacha wake/waume zao Wazuri

Ndoa zina mambo mengi mno, hasa huwa tunategemea furaha na upendo usio na kifani ila baada ya kuoa mambo huwa tofauti kwa watu wengi.

Vijana wa KATAA NDOA Wana hoja, WASIKILIZWE japo sishauri kutooa ila nashauri tujipange kisawasawa kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Tujipange Sana kiuchumi, pia tusiwe na matarajio makubwa mno katika ndoa hata Kama mke/mume wako mtarajiwa anafit katika vigezo vyote unavyovitaka

Binafsi nilifanya research Sana juu ya mke mtarajiwa na nikahakikisha ana vigezo vingi ninavyovihitaji (ikiwemo ubikra), japo sikuwahi kuishi naye wala kusex kabla ya ndoa.

JAMBO GANI ULIDHANI UTALIKUTA KWENYE NDOA ILA HUJALIKUTA???

JAMBO GANI ULIPANGA UNGEFANYA KATIKA NDOA ILA BAADA YA NDOA HUTAMANI KUFANYA TENA???

Mwanamke chini ya miaka 30, au mpaka 32 hivi wanaitaji mapenzi mara nyingi, other factors being constant :

- Sex in marriage is earned, haiji kirahisi, lazima uwekeze amani na maelewano, ukiwa na mwanamke anayenuna nuna na wewe pia huwezi pata sex.

- Usipopewa wewe sex sio kwamba hapati, akipatikana mtu wa kugusa button muhimu atamla tu, kwa hiyo kama huwezi wekeza kupata sex na kumridhisha lazima wanamla.

- Hakuna mwanamke analala na mwanaume week nzima kitanda kimoja asitake sex, labda kama mna ugomvi, na akipata mtu wa kumlegeza atamla tu.

- Wao watabisha, ila kipimo madhubuti cha uaminifu wa mwanamke ni utayari wake wa uitaji wa sex kwa mume wake, huwezi amini, ila huu ni ukweli.

Wanaume tumeumbwa ku negotiate sana na hawa wanawake, hawana muscles ila wana nguvu sana, ukitaka amani na furaha lazima u negotiate.
 
Z
Mwanamke chini ya miaka 30, aupaka 32 hivi wanaitaji mapenzi mara nyingi, other factoes being constant :

- Sex in marriage is earned, haiji kirahisi, lazima uwekeze amani na maelewano, ukiwa na mwanamke anayenuna nuna na wewe pia huwezi pata sex.

- Usipopewa wewe sex sio kwamba hapati, akipatikana mtu wa kugusa button muhimu atamla tu, kwa hiyo kama huwezi wekeza kupata sex na kumridhisha lazima wanamla.

- Hakuna mwanamke analala na mwanamke week nzima kitanda kimoja asitake sex, labda kama mna ugomvi, na akipata mtu wa kumlegeza atamla tu.
✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️
 
Sio kweli mkuu wanawake wanapenda sex kukiko wanaume na wanafanya sana tu, ila tu wao wanatafsiri sex kwa zawadi yaan ukimla lazima umpe chochote kile ndo huko chini patafunguka uingie ila unasigina halafu unaondoka hivihici hupati kitu.
Hama zama hizo,wenzio siku hizi tunakula bila hata ya hela wala zawadi
 
aisee yaani unaoa alafu mke anakunyima utelezi na wew bado unahudumia??!!! mie ningefukuza kabisa anajaza choo tuu. jukumu la mwanamke ni kutoa mbususu basi hana cha ziada hapo ndani mwa munyumba bwana.

ah sielewagi hii story ya kumficha mke kipato chako. yeye anaambia kipato kiasi gani na matumizi yakoje. hataki ale nduki. yaani mwanaume mzima na mbupuz zako mke akuendeshe kama gari bovu. acha uboya. mwanamke ni chombo cha starehe na atabakia kuwa hivyo period wether ameolewa au hajaolewa.
 
Tunaendelea kuifanyia kazi ndoa ili kupata matokeo ya maono na ndoto zangu ... ndoa sio matamanio au matarajio.. ndio maana unapewa kacheti kama vile ume hitimu kumbe ndio unaingia kuanza kuchakata module za ndoa moko baada ya ingine.. [emoji28][emoji28]
[emoji2][emoji2] unapewa cheti kabla hujachakata module za ndoa.... nimeamini NDOA NI UTAPELI.
 
aisee yaani unaoa alafu mke anakunyima utelezi na wew bado unahudumia??!!! mie ningefukuza kabisa anajaza choo tuu. jukumu la mwanamke ni kutoa mbususu basi hana cha ziada hapo ndani mwa munyumba bwana.

ah sielewagi hii story ya kumficha mke kipato chako. yeye anaambia kipato kiasi gani na matumizi yakoje. hataki ale nduki. yaani mwanaume mzima na mbupuz zako mke akuendeshe kama gari bovu. acha uboya. mwanamke ni chombo cha starehe na atabakia kuwa hivyo period wether ameolewa au hajaolewa.
Wanawake wengi wapo hivyo, ukiamua kuchukua Sheria mkononi utajikuta kila siku unaacha

Kitu ambacho wanaume wengi hawafurahii hasa katika kujenga future
Watu hawana sababu za msingi kwa nini wana oa au olewa hili swali niliwahi uliza humu mpaka leo sijapata majibu ya kuridhisha.

Hakuna kitu cha msingi ndani ya ndoa ambacho nje ya ndoa utakosa.

Mpaka sasa nipende kuhitimisha kuwa ndoa ni useless, vijana wana oa na kuolewa kwa kufuata mkumbo wa jamii za kiafrika hawana sababu za msingi kabisa kwa nini wana oa au kuolewa.
Sababu kubwa ni mbususu 😂😂
 
[emoji2][emoji2] unapewa cheti kabla hujachakata module za ndoa.... nimeamini NDOA NI UTAPELI.
😅😅😅😅 nahisi wanatoa cheti kwasababu miaka ya kuhitimu degree ya ndoa ni zaidi ya 10.. wanadamu wasingekula kubali kukaa kwenye hilo shule ndio waje pewa cheti . .. wakaona tunawapa cheti . then anzeni kutoboa module moja baada ya ingine mki fail hayatuhusu 😅😅😅
 
Back
Top Bottom