Hahahaha............. hongera MjukuuSend off yangu itafanywa na kamati, nna bonge la kampani sina hofu. Hapa nataka nimchague mwana wa Israel mmoja wa kufankisha hili 🤣🤣🤣🤣
Wabongo tunapenda sifa sana pale ukumbini sijui na vile wanakuwa wameshapiga kilevi yaani wanaahidi tuKabisa Mkuu
Unakuta Kuna mwingine anakuhaidi amekununulia Kiwanja
Mwingine anasema atakuzawadia matofali muanze Ujenzi
Mkitoka Ukumbini hakuna Kitu unapewa, sio Kiwanja Wala tofali
Hapo ndiyo utajua Wabongo tumezoea fix 🙌😜
🤣🤣🤣🤣 babu hilo limeisha utakula na vingine utabeba, vinywaji tunaweka order tbl walete mitungi ya pombe zao zote, na kutakuwa na mtu wa cocktail. Nyie ni kula maisha. Ww utaingia kwenye zile kadi 20 za familia sawa babu 😜Hahahaha............. hongera Mjukuu
Tafadhali, pamoja na kuzeeka kwangu bado nina meno ya kuvunja mifupa ya Kuku
Mwaliko muhimu 😜
Hii ina discourage Vijana wengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣 babu umenichekesha huo mstari wa mwisho.. ila mimi niko tofauti sijawahi kuwaelewa wanaojirudisha kwa maex zao, yani wanatafuta nini kwa vitu vilivyo expire??Hii ina discourage Vijana wengi
Unakuta mtu amekubali kuolewa lakini bado anaendelea kuwasiliana na maEX wake kukumbushia kupasha kiporo
Bora huyo EX awe mmoja kutoa ushindani Kwa mwenye nyumba, but unakuta lundo la maX
Hadi Mume ukitaka kudeal nalo unashindwa na kunyoosha mikono juu 🙌
Tatizo hawa viumbe wakishachezea mijegeje tofauti tofauti ni ngumu kutuliza nyuchi zaoHii ina discourage Vijana wengi
Unakuta mtu amekubali kuolewa lakini bado anaendelea kuwasiliana na maEX wake kukumbushia kupasha kiporo
Bora huyo EX awe mmoja kutoa ushindani Kwa mwenye nyumba, but unakuta lundo la maX
Hadi Mume ukitaka kudeal nalo unashindwa na kunyoosha mikono juu 🙌
MaX wanatofautiana ufanisi kwenye eneo la utoaji (kuhonga), kwenye kutoa shoo ya kiwango n.k🤣🤣🤣🤣🤣 babu umenichekesha huo mstari wa mwisho.. ila mimi niko tofauti sijawahi kuwaelewa wanaojirudisha kwa maex zao, yani wanatafuta nini kwa vitu vilivyo expire??
Kujiendekeza na umalaya tyuuu!! Km bora si angebaki naye!!! 🤣🤣🤣🤣MaX wanatofautiana ufanisi kwenye eneo la utoaji (kuhonga), kwenye kutoa shoo ya kiwango n.k
Unajua huwezi kupata a complete Man
Shauri yako, usijaribu kukutwa na Bwana PepsiKujiendekeza na umalaya tyuuu!! Km bora si angebaki naye!!! 🤣🤣🤣🤣
Ulifanya vizuriSikufanya hivyo Mkuu
Kikwetu kwetu ni Mwiko kumpigia Mwanamke magoti
Japo ni lazima Mwanamke kumpigia magoti Mwanaume hata kama atakuwa na umri wa miaka 5 😅
Hamna lolote utamu wa pipi mate yako 🤣🤣🤣🤣Shauri yako, usijaribu kukutwa na Bwana Pepsi
Ukiweza Ishi kama sisi Wazee tu, ukisema uonje onje you are going to hate your marriage totally 🤗
Kuna watu utasema wamefuzu Shahada ya juu kwenye hilo eneo la kucheza na mwili 🙌
[emoji1666]Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Sijafika huko ila tuliongea waalikwa watakua 25 tu yeye akiwa anataka wawe 15 hao 10 nimetumia nguvu sana kuwaombea, then figure it out gharama itakuwa kiasi gani roughly