Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Maini hakuna labda maini ya asili(maharage)Mara hii Mkuu 😅
Kweli Wazee hatuwezi kupata hata maini inaonekana 🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maini hakuna labda maini ya asili(maharage)Mara hii Mkuu 😅
Kweli Wazee hatuwezi kupata hata maini inaonekana 🙌
Ndoa zimebaki kuwa fasheni ila wahusika hawauvai uhalisia wa wanandoaNi kumuomba Mungu tu
Japo Simu zimekuja kuchangia pakubwa sana Ndoa kuwa zinavunjika
I wish tungekuwa tunaishi miaka ile ya Giza, hata kama unachepuka inakuwa vigumu kushtukiwa 😜
HahahahahaKabisa Mkuu
Kuna Mzee alinihaidi shilingi milioni 5 kama zawadi, lakini akaishia kunipa shilingi 500k tu baada ya harusi 🙌
Watu wa aina hii michosho sanaKabisa Mkuu
Kuna Mzee alinihaidi shilingi milioni 5 kama zawadi, lakini akaishia kunipa shilingi 500k tu baada ya harusi 🙌
Ulizaliwa peke yako na yatima? Huna hata ndugu au hata waliokutunza kituo cha yatima waje kwenye sherehe?Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Hizo ni Ndoa ambazo zilifanyika kutokana na tamaa either Mke alimpenda Mume kwaajili ya Kipato sasa kimeshukaNdoa zimebaki kuwa fasheni ila wahusika hawauvai uhalisia wa wanandoa
Wengi wanavumilia maisha ya ndoa badala ya kufurahia ndoa
Ndoa nyingine mume na mke ni kama wanaforce mbele ya watu na familia waonekane wanandoa ila akilini na kimatendo ni kama walishatengana
Unajua nilichoona miaka hii kuna changamoto sana hasa hawa wanawake wanaoolewaHizo ni Ndoa ambazo zilifanyika kutokana na tamaa either Mke alimpenda Mume kwaajili ya Kipato sasa kimeshuka
Ama Mume alimpenda Mke akiwa na zigo kama lile la Wema Sepetu kabla hajafanyiwa operation sasa zigo limepungua na kuwa kiduchu kama miss Tanzania Mwaka 47 😜
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbaya zaidi Ndoa zenyewe zinashindwa kudumu [emoji119]
Unakuta mmetumia more than 15M then baada ya miezi 6 Kila mtu anadai talaka [emoji119]
Yeah anakuwa amekuharibia mipango yakoHatari sana Mkuu
Unakuta ulishaipigia bajeti kumbe hola 🙌
Kabisa MkuuYeah anakuwa amekuharibia mipango yako