Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ni kumuomba Mungu tu

Japo Simu zimekuja kuchangia pakubwa sana Ndoa kuwa zinavunjika

I wish tungekuwa tunaishi miaka ile ya Giza, hata kama unachepuka inakuwa vigumu kushtukiwa 😜
Ndoa zimebaki kuwa fasheni ila wahusika hawauvai uhalisia wa wanandoa

Wengi wanavumilia maisha ya ndoa badala ya kufurahia ndoa

Ndoa nyingine mume na mke ni kama wanaforce mbele ya watu na familia waonekane wanandoa ila akilini na kimatendo ni kama walishatengana
 
Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani

Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Ulizaliwa peke yako na yatima? Huna hata ndugu au hata waliokutunza kituo cha yatima waje kwenye sherehe?
 
Ndoa zimebaki kuwa fasheni ila wahusika hawauvai uhalisia wa wanandoa

Wengi wanavumilia maisha ya ndoa badala ya kufurahia ndoa

Ndoa nyingine mume na mke ni kama wanaforce mbele ya watu na familia waonekane wanandoa ila akilini na kimatendo ni kama walishatengana
Hizo ni Ndoa ambazo zilifanyika kutokana na tamaa either Mke alimpenda Mume kwaajili ya Kipato sasa kimeshuka

Ama Mume alimpenda Mke akiwa na zigo kama lile la Wema Sepetu kabla hajafanyiwa operation sasa zigo limepungua na kuwa kiduchu kama miss Tanzania Mwaka 47 😜
 
Unajua nilichoona miaka hii kuna changamoto sana hasa hawa wanawake wanaoolewa

Kwa mfano wanawake wengi wanalazimika tu kuingia kwenye ndoa kwa sababu ya age catching with them, kuepuka aibu kwenye jamii na kibunda kama ulivyosema hapo

Sasa baadaye anaanza kuishi maisha halisi na mume. Kama material things anazoea anakuta anakosa kitu kimoja hana hisia za kweli za upendo kwa mume
 
Back
Top Bottom