Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

That's nice

Muhimu ninyi wenyewe kuweza kujiingiza, mkifata ndugu Wasemavyo mnaweza kujikuta mnafanya sherehe ya milioni 25 alafu baadaye Mr anakuwa na Madeni ya 15M

Uchumi wa watu wengi umeshuka Siku hizi, mkisema mtegemee michango mnaweza kuwa disappointed 🙌
Ah sio mchaga mimi mixer mpare
Siwezi ruhusu hilo 🤣🤣

Yan mje mle na kulewa kwa hela zetu? Subutuuu
 
Nashukuru sana baba, hebu nisaidie hapo ili ikiwezekana mambo yaende haraka. mchumba yule mshenga niliyesema nitamleta kwenu, soon atafikisha ujumbe wangu
Mjukuu please mkubalie jamaa ombi lake, Babu yenu nimemisi Biriyani la harusi mjue 😜
Nishakubali mbona! Muhimu waletwe ng'ombe wawili dume na jike
 
Back
Top Bottom