Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na chai si mtakunywa???
Ah sio mchaga mimi mixer mpareThat's nice
Muhimu ninyi wenyewe kuweza kujiingiza, mkifata ndugu Wasemavyo mnaweza kujikuta mnafanya sherehe ya milioni 25 alafu baadaye Mr anakuwa na Madeni ya 15M
Uchumi wa watu wengi umeshuka Siku hizi, mkisema mtegemee michango mnaweza kuwa disappointed 🙌
Tufanye kama tulivyopanga☺Sema "Suu" nije kwenu chap 🌹
Mm naomba niwe matroni nikae meza kuu😂😂Na chai si mtakunywa???
Ila meza kuu vyuku vitatamalaki
Naskilizia kwanza nikiwa bize sana inaweza isiwepoHarusi tunayo 😀😀
🤸♀️Basi sawa mkuu. Ngoja bibie akunjue nafasi, nianze michakato
Nashukuru sana babu, hebu nisaidie hapo ili ikiwezekana mambo yaende haraka. mchumba yule mshenga niliyesema nitamleta kwenu, soon atafikisha ujumbe wanguKwa kuwa nina nafasi ya kuongea naye kama Babu yake, nitajitahidi kumbembeleza Kwa niaba yako 😜
Safi 😍Tufanye kama tulivyopanga☺
Kama utabahatika kuwa miongoni mwa waalikwa 50.. waalikwa 25 kutoka kila upande 😂😂😂Roho mbaya hiyo Mkuu, hutaki Wazee tuje kuserebuka na Ngoma zetu za kale huku tukichoma ndafu 😜
Nashukuru sana baba, hebu nisaidie hapo ili ikiwezekana mambo yaende haraka. mchumba yule mshenga niliyesema nitamleta kwenu, soon atafikisha ujumbe wangu
Nishakubali mbona! Muhimu waletwe ng'ombe wawili dume na jikeMjukuu please mkubalie jamaa ombi lake, Babu yenu nimemisi Biriyani la harusi mjue 😜