Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Send off yangu itafanywa na kamati, nna bonge la kampani sina hofu. Hapa nataka nimchague mwana wa Israel mmoja wa kufankisha hili 🤣🤣🤣🤣
Hahahaha............. hongera Mjukuu

Tafadhali, pamoja na kuzeeka kwangu bado nina meno ya kuvunja mifupa ya Kuku

Mwaliko muhimu 😜
 
Kabisa Mkuu

Unakuta Kuna mwingine anakuhaidi amekununulia Kiwanja

Mwingine anasema atakuzawadia matofali muanze Ujenzi

Mkitoka Ukumbini hakuna Kitu unapewa, sio Kiwanja Wala tofali

Hapo ndiyo utajua Wabongo tumezoea fix 🙌😜
Wabongo tunapenda sifa sana pale ukumbini sijui na vile wanakuwa wameshapiga kilevi yaani wanaahidi tu

Mwingine anaahidi mabati wakati wanandoa hata kiwanja unakuta hawana

🤣🤣🤣
 
Hahahaha............. hongera Mjukuu

Tafadhali, pamoja na kuzeeka kwangu bado nina meno ya kuvunja mifupa ya Kuku

Mwaliko muhimu 😜
🤣🤣🤣🤣 babu hilo limeisha utakula na vingine utabeba, vinywaji tunaweka order tbl walete mitungi ya pombe zao zote, na kutakuwa na mtu wa cocktail. Nyie ni kula maisha. Ww utaingia kwenye zile kadi 20 za familia sawa babu 😜
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ina discourage Vijana wengi

Unakuta mtu amekubali kuolewa lakini bado anaendelea kuwasiliana na maEX wake kukumbushia kupasha kiporo

Bora huyo EX awe mmoja kutoa ushindani Kwa mwenye nyumba, but unakuta lundo la maX

Hadi Mume ukitaka kudeal nalo unashindwa na kunyoosha mikono juu 🙌
 
🤣🤣🤣🤣🤣 babu umenichekesha huo mstari wa mwisho.. ila mimi niko tofauti sijawahi kuwaelewa wanaojirudisha kwa maex zao, yani wanatafuta nini kwa vitu vilivyo expire??
 
Tatizo hawa viumbe wakishachezea mijegeje tofauti tofauti ni ngumu kutuliza nyuchi zao

Suala la kuoa bikira lina mashiko sana ni basi tu jamii ya miaka hii imejifanya kulipotezea. Hapo ndiyo mwanzo wa ndoa nyingi kufeli

Kama ulimkuta sio bikira hilo ni wazi kwamba mashine yako siyo ya kwanza kwenye K yake kashachezea za kutosha.

Usitegemee dushe lako pekee litamridhisha

Umeingia kwenye shindano ambalo analinganisha mipini iliyompitia.

Hauwezi kuwa her best option hata siku moja
 
🤣🤣🤣🤣🤣 babu umenichekesha huo mstari wa mwisho.. ila mimi niko tofauti sijawahi kuwaelewa wanaojirudisha kwa maex zao, yani wanatafuta nini kwa vitu vilivyo expire??
MaX wanatofautiana ufanisi kwenye eneo la utoaji (kuhonga), kwenye kutoa shoo ya kiwango n.k

Unajua huwezi kupata a complete Man
 
Kujiendekeza na umalaya tyuuu!! Km bora si angebaki naye!!! 🤣🤣🤣🤣
Shauri yako, usijaribu kukutwa na Bwana Pepsi

Ukiweza Ishi kama sisi Wazee tu, ukisema uonje onje you are going to hate your marriage totally 🤗

Kuna watu utasema wamefuzu Shahada ya juu kwenye hilo eneo la kucheza na mwili 🙌
 
Hamna lolote utamu wa pipi mate yako 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom