Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Kama 4 millions hivi,sikumchangisha tu,mm ni mfanyakazi na mke wngu pia ni mfanyakazi taasisi zetu zipo jirani tungeamua kuchangisha tungepata hata milion 60,ila tulifanys kimyakimya ya kifamilia tu ndugu wangu baadhi ns kwao baadhi jambo likaisha,ofisini tulipeleka vyeti,hatukutaka kucreate attention na hatukuona umuhimu wa watu wrngi wakati ndoa ni jambo binafsi!! Mm si muumini wa sherehe,japokuwa huwa nachangia za watu wengi!!gari nilitumia ya kwngu ninayotumiaga kila siku,sikuazima,kukodi,kuomba wala kukopa chochote na sasa mwaka huu tunafikisha mwaka wa 7 na mtoto wetu wa kwnza ana miaka 6!!
 
Kuna couple moja nchini Kenya walijiua usiku wa honeymoon sababu YA madeni makubwa ya harusi
Hao unakuta walipanga harusi ya maybe 10M lakini pamoja na michango na akiba yao, wakakuta Wana maybe 5M

Ili kufanikisha sherehe, ndiyo mnalazimika kwenda kukopa 🙌

Bora kujikuna mkono unapofikia
 
Unapesa nyingi sana.

10mln ? kwenye harusi
Mkuu nilifanya vile kumfurahisha Bibi yenu pamoja na baadhi ya ndugu, kama nilivyosema awali, Wanawake hawapendi kuolewa kimya kimya.

Ndiyo maana niliamua kujiandaa miaka 5 ili kufanikisha tukio

Lakini wapo watu, wanatumia zaidi hata ya 100M kugharamia harusi.
 
Shida watu siku hizi anakutana na demu wake huko, anajikuta kidume kupiga goti avishe pete binti wa watu na tukalio twake utadhani limao za mia mia, kumbe mfukoni ana milioni moja na hana
😂😂😂Ila wee jamaa
 
Kama 4 millions hivi,sikumchangisha tu,mm ni mfanyakazi na mke wngu pia ni mfanyakazi taasisi zetu zipo jirani tungeamua kuchangisha tungepata hata milion 60,ila tulifanys kimyakimya ya kifamilia tu ndugu wangu baadhi ns kwao baadhi jambo likaisha,ofisini tulipeleka vyeti,hatukutaka kucreate attention na hatukuona umuhimu wa watu wrngi wakati ndoa ni jambo binafsi!! Mm si muumini wa sherehe,japokuwa huwa nachangia za watu wengi!!gari nilitumia ya kwngu ninayotumiaga kila siku,sikuazima,kukodi,kuomba wala kukopa chochote na sasa mwaka huu tunafikisha mwaka wa 7 na mtoto wetu wa kwnza ana miaka 6!!
Mkuu hongereni sana

Kama ulivyosema, sherehe ni jambo binafsi hivyo sio vyema kuanza kuwasumbua watu Kwa michango wakati sherehe sio jambo la dharura

Vyema wengine kujifunza kupitia watu kama ninyi.

Nina rafiki yangu London, wao hawana utaratibu wa kuchangishana kabisa kwenye mambo mengi including hata misiba
 
Sina hamu na harusi ilifika hatua mpka nikakonda mpka watu ukumbini wakawa wanashangaa uyu ni bwana harusi au babu harusi.
Kipi kilikukondesha Mkuu, madeni ama hofu ya Ndoa yenyewe?
 
Back
Top Bottom