rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
Nilitumia 50k tu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Usijali babu🤗🤗Asante Mkuu
Ikawe heri kwenu,
kumbukeni Wazee bado tuna meno ya kuvunja mifupa ya kuku mkitupa mwaliko 🤗
Kuna couple moja nchini Kenya walijiua usiku wa honeymoon sababu YA madeni makubwa ya harusiKweli Mkuu, unaanza kutumia miezi 3 ya Ndoa kulipa madeni tu
Hata amani ya Ndoa inaanza kupotea 🙌
Hao unakuta walipanga harusi ya maybe 10M lakini pamoja na michango na akiba yao, wakakuta Wana maybe 5MKuna couple moja nchini Kenya walijiua usiku wa honeymoon sababu YA madeni makubwa ya harusi
Kama una uwezo wa kuchangia unachangia tu babu kama tendo la ukarimu Mungu atakupa rewardWengine huwaombi mchango lakini ikifika zamu yao lazima wakuletee Kadi ya Mchango 🙌
Mkuu nilifanya vile kumfurahisha Bibi yenu pamoja na baadhi ya ndugu, kama nilivyosema awali, Wanawake hawapendi kuolewa kimya kimya.Unapesa nyingi sana.
10mln ? kwenye harusi
Huwa nachangia Mjukuu, lakini Kuna wakati Kadi zinafululuza.Kama una uwezo wa kuchangia unachangia tu babu kama tendo la ukarimu Mungu atakupa reward
😂😂😂Ila wee jamaaShida watu siku hizi anakutana na demu wake huko, anajikuta kidume kupiga goti avishe pete binti wa watu na tukalio twake utadhani limao za mia mia, kumbe mfukoni ana milioni moja na hana
Ili wakusaliti kimya kimya,na jamii imusaidie mtakapo Gawana mali.Vyema kujipanga, aisee Wanawake hawapendi Ndoa za kimya kimya hata mara moja 😅
Mkuu hongereni sanaKama 4 millions hivi,sikumchangisha tu,mm ni mfanyakazi na mke wngu pia ni mfanyakazi taasisi zetu zipo jirani tungeamua kuchangisha tungepata hata milion 60,ila tulifanys kimyakimya ya kifamilia tu ndugu wangu baadhi ns kwao baadhi jambo likaisha,ofisini tulipeleka vyeti,hatukutaka kucreate attention na hatukuona umuhimu wa watu wrngi wakati ndoa ni jambo binafsi!! Mm si muumini wa sherehe,japokuwa huwa nachangia za watu wengi!!gari nilitumia ya kwngu ninayotumiaga kila siku,sikuazima,kukodi,kuomba wala kukopa chochote na sasa mwaka huu tunafikisha mwaka wa 7 na mtoto wetu wa kwnza ana miaka 6!!