Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Alhamdulillah mimi nimepiga ndoa ya mkeka juzi, na hela ambayo ningekamuliwa kwenye mahari imepona na kuamua kuihamishia kwenye kufanya stock ya chakula na mambo mengine madogo madogo ya kusogeza maisha mbele.
 
Kwa kweli ndoa yangu bado sijapata picha itakuwaje? Lakini ndoa ya kiserikali chap na baada ya hapo tunaelekea home itanifaa sana. Sitamani kutumia hata milioni 1 kwa ajili ya shughuli hiyo.
Ukifanya ya kimya kimya huokoa gharama aisee, changamoto Kuna Mwanamke anapenda kuolewa kimya kimya? 😜
 
Back
Top Bottom