Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
- Thread starter
- #41
Naelewa MkuuYa nilikuwa napima kina cha maji basi mguu ukaingia wote. Ikawa hakuna jinsi zaidi ya kupewa jumla niogelee vyovyote nitakavyo.
Bila shaka wewe ni mzee mwenzang ushaelewa maana 😂😂😂
Hata hivyo baada ya Ndoa ya Mkeka lazima mkafanye ile ya Makaratasi ambayo ni Serikali ama ya Kidini 🙌
Wanawake hupenda Makaratasi ili wasisumbuke kwenye urithi tukifa 🙌