Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Both of them kwa upande wangu, instead ya birthday parties, tuwe na business funding party.
Watu wanapenda kutumia kwenye Starehe kuliko maendeleo

Hujawahi kusikia msemo wa Ponda Mali kufa kwaja?

Ukisema uchangishe kwaajili ya business funding hupati mtu lakini ukisema unachangisha kwaajili ya trip ku-have fun watu wanachanga 😅🙌
 
Toka nikiwa mdogo am not a fan wa masherehe, inaweza ikawa yangu but nawaacha mna shangaa tu.

Basi jamii Ina paswa i change thinking style yake, ili kuokoa kizazi kijacho.

Mtoto aki zaliwa happy birthday yake, badala ya mabeseni ya laki 2 au blanketi la laki 1.
badala yake anunuliwe angalau heka 1 ya shamba hata Kama ni porini.

Mtoto badala ya kukimbizwa kusoma dini kupita kiasi, apewe pia mafunnzo ya uchumi kwa kina.

Kijana kabla ya ku graduate secondary, afundishwe ujuzi fulani kwa vitendo.

Bila kusahau kuandaliwa mfuko wa hifadhi wa fedha, Sio ana graduate elimu fulani, Hana hata shilingi ya kubahatisha.

Hii ita saidia huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom