Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ewaa, endapo Niki fukuzwa u katibu mwenezi wa kataa ndoa, Nita mtafuta mmoja tumalize tu🤣😂Sitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!