Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ewaa, endapo Niki fukuzwa u katibu mwenezi wa kataa ndoa, Nita mtafuta mmoja tumalize tuπ€£πSitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Yule mchumba ako N... yuko wapiEwaa, endapo Niki fukuzwa u katibu mwenezi wa kataa ndoa, Nita mtafuta mmoja tumalize tuπ€£π
Some few shits happened, so tuna rest kidogo.Yule mchumba ako N... yuko wapi
Pole ndo maishaSome few shits happened, so tuna rest kidogo.
And she is just a friend bhana, sema ndo kuzoeana tuπ
Nope, hatuja gombana Wala nini, ni good partners stillπ.Pole ndo maisha
Utapata mwingine
Tualikane tule ubwabwaNope, hatuja gombana Wala nini, ni good partners stillπ.
And she is the best of the bestπ, soon proposal yaenda.
Both of them kwa upande wangu, instead ya birthday parties, tuwe na business funding party.Hupendi sherehe ama hupendi kuharibu hela za kufanyia maendeleo Kwa kufanya sherehe?
ephen_ Si mpaka akubali π, and na mi ni Kama wewe sio mzee wa ma sherehe.Tualikane tule ubwabwa
adriz leta gun tupige hii mkwe ya mchongoππ€£.Katika jambo ambalo sitojaribu ni hili bora tuu nipate mtu anayelijua jiji
aisee SI kwa ubaya, labda chocolate flani hiviπ.Kumbe wewe unapenda wenye rangi za mtume! Sisi cheusi mangara hututaki
Dah!! Kweli kila mtu na chaguo lakeaisee SI kwa ubaya, labda chocolate flani hiviπ.
Raha ya kununua abaya, mvaaji aonekane π
hapo kina kila la kheri 2, ya furahia na kilio.Dah!! Kweli kila mtu na chaguo lake
Kila la kheri...!
Kumbe wewe bado huja oa mzeeππ, hata toto huna nahisi ππππkaka shida nini kwanπππ
Watu wanapenda kutumia kwenye Starehe kuliko maendeleoBoth of them kwa upande wangu, instead ya birthday parties, tuwe na business funding party.
Toka nikiwa mdogo am not a fan wa masherehe, inaweza ikawa yangu but nawaacha mna shangaa tu.Watu wanapenda kutumia kwenye Starehe kuliko maendeleo
Hujawahi kusikia msemo wa Ponda Mali kufa kwaja?
Ukisema uchangishe kwaajili ya business funding hupati mtu lakini ukisema unachangisha kwaajili ya trip ku-have fun watu wanachanga π π