Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Kamati usipokuwa makini zinapiga hela ndefu tu

Mimi nilishtuka, nikawa naenda mwenyewe front japo Wanakamati walimind πŸ˜…
mkuu nipe A,B,C za kudhibiti wanakamati kama C.A.G natarajia kufanya hii shughuli siku sio nyingi.
 
mkuu nipe A,B,C za kudhibiti wanakamati kama C.A.G natarajia kufanya hii shughuli siku sio nyingi.
Bajeti iwe shirikishi lakini Kila manunuzi uhusike mwenyewe, Kwa maana yasifanyike manunuzi bila wewe mwenyewe kuhusishwa na ujiridhishe kabisa
 
Wazo zuri sana! Sio wadada wa siku hizi,unapewa budget hadi unataka kulia:....... Washikaji unawabana kwenye michango hadi uswahiba unakufa
Of course ni wadada wachache wanakubali hiyo hali

Wengi wanapenda harusi za ufahari
 
Harusi ml 9 zanini??
Mie mume wangu namvalisha zile nguo za kiafrika 150k wapo wawli laki 3 . Gari zinakuwa 3 tu bwana harusi na bwana harusi , na wasimamizi , .
tunapewa na marafiki ,
ingine kanisani tunaomba wanakwaya na wazee arusha, baba na mama wa upande wa mzee, mama na dada upande wangu, mwanasheria wangu, na mkewe . Kwao pia baadhi wawe 4 waheshima.
Ukumbi hakuna tunaomba meza kadhaa kwa ajili ya chakula baada ya harusi, bufee 6 tu ndio tutalipia yenye vyakula mablimbali na vinywaji kama shampaigne na keki , basi tunakula .

Gharama ni honeymoon basi. hakuna cha send off . Wala kitchen party namuaga nani waste of time.
BAjeti yangu ya harusi 2 ml . Ukitoa gauni na kupambwa 1 ml basi maana gauni langu litakuwa simpe tu . Pete hiyo sasa ndio siri yetu. So total balance ya harusi ni 3ml kwa mahitaji yote toa pete
 
Nimependa ulivyofanya bajeti rahisi, hutaki baada ya harusi mbaki na Madeni πŸ€—

Mnakuwa na harusi simple tu πŸ₯‚
 
Halafu harusi kubwa mnajishaua tu watu hawapendi sio kila mtu anapenda unaolewa eti
Ni kweli sio wote wanapenda harusi kubwa but ni ukweli kwamba Wanawake mnapenda sana harusi kubwa.

Harusi zenye bajeti kubwa, hadi baada ya harusi unakuta Bwana harusi ana madeni ya 10M na zaidi πŸ™Œ

Kama wewe sio mmoja wapo, tukupe hongera zako Mjukuu πŸ€—
 
Sipendagi kujionyesha
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…