Naelewa MkuuYa nilikuwa napima kina cha maji basi mguu ukaingia wote. Ikawa hakuna jinsi zaidi ya kupewa jumla niogelee vyovyote nitakavyo.
Bila shaka wewe ni mzee mwenzang ushaelewa maana πππ
Hahaha.........Mkuu utakuwa ume-mature sana kifikraSipendi ile hali ya kupigia watu simu kuwakumbusha michango
Sina hela za kuchezea kuandaa sherehe kubwa kuwalisha watu.
Sherehe sio lazima
Ukumbi ilikuwa nyumbaniHamkuenda Ukumbini?
Hahahaha...........hapo lazima Wajumbe wa kamati ya michango vichwa viwaume maana mna mlima mrefu kuupanda πNimewahi kuchangishwa mchango wa Sherehe ya Sendoff ambapo bajeti ilikuwa 15M+..
Mhusika kipato chake ni 12M kwa mwaka.
Kupanga ni kuchagua
Hahaha tumepanga tutatafuta mashekh kadhaa wamalize mchezo kimya kimya. Kuhusu urithi baada ya mimi kutangulia kabda yake, nafikiri dini imeshaweka wazi kwenye hilo.Naelewa Mkuu
Hata hivyo baada ya Ndoa ya Mkeka lazima mkafanye ile ya Makaratasi ambayo ni Serikali ama ya Kidini π
Wanawake hupenda Makaratasi ili wasisumbuke kwenye urithi tukifa π
Hongera sana ..ila hakikisha gauni kama ni shera yasiwe yale ya kuazima.madukaniSitofanya sherehe ya harusi...
Gauni langu nataka liwe zuri sanaaa... nipige picha za ukumbusho nikitoka kanisani
Baada ya kanisani kila mtu akale kwao!
Mama anatoa michango sana ya harusiHahaha.........Mkuu utakuwa ume-mature sana kifikra
Tatizo sio Wanawake wote wenye huo mtazamo π
Nilijiwekea lengo la kutosumbua watu kwenye michango, na nilifanikiwaHahahaha...........hapo lazima Wajumbe wa kamati ya michango vichwa viwaume maana mna mlima mrefu kuupanda [emoji119]
Hahaha......Siku hizi michango mingi hadi ya Kipaimara na birthdays πMama anatoa michango sana ya harusi
Nilimwambia asiwe anatoa zaidi ya 20k
Akaniambia anachangia ili sendoff yangu achangiwe pia
Nikamwambia sitofanya sherehe ya sendoff wala harusi.
HUo muda ni bora nipelekwe kijijini kwetu nikafundweπ
Mkuu, akipatikana mwanamke wa maana tunapita nayo hiyo.. ila mwanamke akiwa kichwa ngumu, hakika ataikosa ndoa.Ukifanya ya kimya kimya huokoa gharama aisee, changamoto Kuna Mwanamke anapenda kuolewa kimya kimya? π
Kikubwa life lisonge tuGharama za harusi yangu hazikuzid milion moja na nusu.