Hilo la kumbeba kimya kimya ndiyo hatotakaDah sidhani kama nitafanya sherehe, sina hobby na hizo harakati japo mama ndio anaforce, mimi ni msabato nimemwambia wife, nikishatoa mahali mimi nakubeba tutaenda kufunga ndoa kwa mchungaji baadae, asipotaka basi.
Nasubili miaka 25 ya ndoaYes hata kama kimya kimya ila upate baraka za kanisani
Nashauri uendelee kumwamini Mume wako, japo Siku hizi Wanaume tukiwa wachepukaji hatuchelewi kutelekeza familia pamoja na kufungishwa Ndoa za SerikaliKwa hiyo huyu kenge nisimuamini Sana? Lkn sababu ya kufunga hiyo ndoa ni mimi maana nilitaka kumridhisha bibi yangu na sio wanafiki wachache kuja kufurahia matunda yangu maana kuna misoto mingi nilipitia baada ya kubaki bila wazazi.... Tunapanga tufunguke kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya ndoa.
Yeah anakubali hana mambo mengi hapendi mambo ya ukumbi wala kupoteza hela kununua vilevi hata mahari yake kataja ya kawaida tuKama mwenza wako atakubali haina shida, changamoto asipokubali tu π
Akikubali harusi ya watu 10 huyo usimchelewesheDo u mean it? Ili ikiwezekana tufanye ya watu 10 tu ππ
Ndo naitaka maana hapo atakua kaisha zaidi yangu na heshima juu za kutosha.Mtafunga ya Uzeeni?
Kwani me ni aina gani mkuu hebu ni defineKuna jamaa yuko hapo juu anatafuta Mke wa aina yako π
Acha nichange karata zangu vizuri nimtafutie kizibiti mwendo cha serikali au kanisaniNashauri uendelee kumwamini Mume wako, japo Siku hizi Wanaume tukiwa wachepukaji hatuchelewi kutelekeza familia pamoja na kufungishwa Ndoa za Serikali
Ninyi mnataka sana Makaratasi ya Ndoa ili iwasaidie kwenye mgawanyo wa Mali as mnajua Wanaume huwa tunatangulia Kufariki Dunia kabla yenu [emoji847]
Hahaha ......ila una mahesabu makali sana Mkuu πNdo naitaka maana hapo atakua kaisha zaidi yangu na heshima juu za kutosha.
Umejuaje yani nataka kesho yake iwe juu yangu.Hahaha ......ila una mahesabu makali sana Mkuu [emoji28]
Yaani unataka hata ukisikia anachepuka huko nje uwakatalie watu, kwamba kama anapiga ndani kimoja huko nje hakuna atakuwa anafanya [emoji12][emoji119]
Harusi tunayo ππYeah anakubali hana mambo mengi hapendi mambo ya ukumbi wala kupoteza hela kununua vilevi hata mahari yake kataja ya kawaida tu
Hii ilikaa poa sana MkuuPicha lilianza, nilipeleka sherehe yangu kijijini, that way nilipunguza gharama kwa asilimia zote.
Kanisaji, Kufunga ndoa kanisani kuligharimu mavazi, mimi, bibi harusi, wasimamizi, watoto nk.. kuwavalisha wazee wangu na wakwe, hapo ni pesa ya kutosha.
Ukumbi, tulitumia 50k kukodisha ukumbi wa shule, mapambo 100k imeisha.
Usafiri, ndugu waliotoka town na ma rav4, Harrier, vanguard zote hizo zilitumika at a zero cost.
Misosi, ng'ombe mmoja, kuku wa kienyeji 50, ndafu, keki na misosi mingine at a very low cost.
Faida, kuwafurahisha sana wazee wa kijijini kwangu. Kupunguza gharama kubwa sana, kuwaleta wakwe zangu wote kujua binti yao anaolewa wapi...etc