Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
- Thread starter
- #121
Hilo la kumbeba kimya kimya ndiyo hatotakaDah sidhani kama nitafanya sherehe, sina hobby na hizo harakati japo mama ndio anaforce, mimi ni msabato nimemwambia wife, nikishatoa mahali mimi nakubeba tutaenda kufunga ndoa kwa mchungaji baadae, asipotaka basi.
Bora mfanye sherehe ya watu 20 tu vinginevyo utanuniwa ndani hadi uchoke. Wanawake akili zao wanazijua wenyewe wakitaka jambo lao 🙌🤗