Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

mchumba hebu sikiliza ushauri toka kwa Mzee wangu. Kunjua moyo nifanye kweli. Why tuwafaidishe wenye ukumbi wakati tunaweza save hela tukajenga kibanda chetu 😎
 
Utamsaidia sana Mume wako, maana gharama za harusi zitatumika kufanya shughuli nyingine ya Uwekezaji πŸ€—
 
Nimependa hiyo

Harusi ni gharama, unaweza kugharamia hela nyingi kwenye harusi baada ya sherehe mnabaki na Madeni tu πŸ™Œ
Alishanidokeza kwa uchache anavyotamani iwe.
Ila mama mkwe ameshamwambia kwamba amechangia sana za watu na yeye ndiye kaka pekee ktk familia yao πŸ˜‚πŸ˜‚Tutaenda tu na conclusion yake.

Wengine tumechangia sana work mates
Ofisini kwetu kuna amount ni lazima kwa kila staff, unataka hautaki, hiyo ya lazima unaitoa.
 
Kwakuwa umejua Babu yenu Sina meno Kwa Uzee ndiyo unataka kunikomesha Kwa kupika Makande kwenye harusi yenu 😜

Babu nahitaji maini maini na Vyakula laini laini tu πŸ€—
Wazee tutawablendia makande yenu πŸ˜‚
 
Mara nyingi ndugu ndiyo hupenda sherehe ziwe kubwa kiasi gani, ninyi maharusi mnaweza mkawa na common sense yenu shida ikawa Kwa hao ndugu πŸ™Œ

Tena Ukute mnacheza na Vikoba ndiyo balaa
 
Mara nyingi ndugu ndiyo hupenda sherehe ziwe kubwa kiasi gani, ninyi maharusi mnaweza mkawa na common sense yenu shida ikawa Kwa hao ndugu πŸ™Œ

Tena Ukute mnacheza na Vikoba ndiyo balaa
Itafahamika. Na hao ndugu watasomeshwa waelewe tu…

Sio kila kikoba kina heka heka
Chetu ni weka/ kopa. Michango kuchangiana marufuku
 
Itafahamika. Na hao ndugu watasomeshwa waelewe tu…

Sio kila kikoba kina heka heka
Chetu ni weka/ kopa. Michango kuchangiana marufuku
That's nice

Muhimu ninyi wenyewe kuweza kujiingiza, mkifata ndugu Wasemavyo mnaweza kujikuta mnafanya sherehe ya milioni 25 alafu baadaye Mr anakuwa na Madeni ya 15M

Uchumi wa watu wengi umeshuka Siku hizi, mkisema mtegemee michango mnaweza kuwa disappointed πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…