Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Akikubali harusi ya watu 10 huyo usimcheleweshe

Huyo lazima atakuwa na uchungu na hela zenu in future 🤗

Wanawake wa hivyo unaweza kumwachia Hela ya Matumizi shilingi 350,000 Kwa Mwezi unakuta anaitumia Kwa kujibana hadi kurudisha Chenchi ya 75k 😜
mchumba hebu sikiliza ushauri toka kwa Mzee wangu. Kunjua moyo nifanye kweli. Why tuwafaidishe wenye ukumbi wakati tunaweza save hela tukajenga kibanda chetu 😎
 
Mimi sherehe ya harusi hapana 😀😀
Gauni laki 2
Makeup 50000
Hina. 20000
Viatu. 30000
Pombe hakuna
Mziki. Hakuna

Nilichoplan kwenye ndoa yangu ni dinner Kwa familia zote mbili baada ya ndoa kufungwa
Nitaandaa na natapika mwenyew 😂😂😂
Utamsaidia sana Mume wako, maana gharama za harusi zitatumika kufanya shughuli nyingine ya Uwekezaji 🤗
 
Nimependa hiyo

Harusi ni gharama, unaweza kugharamia hela nyingi kwenye harusi baada ya sherehe mnabaki na Madeni tu 🙌
Alishanidokeza kwa uchache anavyotamani iwe.
Ila mama mkwe ameshamwambia kwamba amechangia sana za watu na yeye ndiye kaka pekee ktk familia yao 😂😂Tutaenda tu na conclusion yake.

Wengine tumechangia sana work mates
Ofisini kwetu kuna amount ni lazima kwa kila staff, unataka hautaki, hiyo ya lazima unaitoa.
 
Kwakuwa umejua Babu yenu Sina meno Kwa Uzee ndiyo unataka kunikomesha Kwa kupika Makande kwenye harusi yenu 😜

Babu nahitaji maini maini na Vyakula laini laini tu 🤗
Wazee tutawablendia makande yenu 😂
 
Alishanidokeza kwa uchache anavyotamani iwe.
Ila mama mkwe ameshamwambia kwamba amechangia sana za watu na yeye ndiye kaka pekee ktk familia yao 😂😂Tutaenda tu na conclusion yake.

Wengine tumechangia sana work mates
Ofisini kwetu kuna amount ni lazima kwa kila staff, unataka hautaki, hiyo ya lazima unaitoa.
Mara nyingi ndugu ndiyo hupenda sherehe ziwe kubwa kiasi gani, ninyi maharusi mnaweza mkawa na common sense yenu shida ikawa Kwa hao ndugu 🙌

Tena Ukute mnacheza na Vikoba ndiyo balaa
 
Mara nyingi ndugu ndiyo hupenda sherehe ziwe kubwa kiasi gani, ninyi maharusi mnaweza mkawa na common sense yenu shida ikawa Kwa hao ndugu 🙌

Tena Ukute mnacheza na Vikoba ndiyo balaa
Itafahamika. Na hao ndugu watasomeshwa waelewe tu…

Sio kila kikoba kina heka heka
Chetu ni weka/ kopa. Michango kuchangiana marufuku
 
Itafahamika. Na hao ndugu watasomeshwa waelewe tu…

Sio kila kikoba kina heka heka
Chetu ni weka/ kopa. Michango kuchangiana marufuku
That's nice

Muhimu ninyi wenyewe kuweza kujiingiza, mkifata ndugu Wasemavyo mnaweza kujikuta mnafanya sherehe ya milioni 25 alafu baadaye Mr anakuwa na Madeni ya 15M

Uchumi wa watu wengi umeshuka Siku hizi, mkisema mtegemee michango mnaweza kuwa disappointed 🙌
 
Back
Top Bottom