Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoka Ibadani then Moja Kwa Moja Nyumbani.Hivi ni vitu ambavyo havitakuwepo siku nitakayo funga ndoa
Pombe✖️
Mziki✖️
Ukumbi✖️
Mc's✖️
Michango✖️ Ukitoa kwa hiyari yako✔️
Sherehe haitakua ya gharama sana.
Do u mean it? Ili ikiwezekana tufanye ya watu 10 tu 😎😎Sipendi ile hali ya kupigia watu simu kuwakumbusha michango
Sina hela za kuchezea kuandaa sherehe kubwa kuwalisha watu.
Sherehe sio lazima
Babu unasali pentekosti revavial nini 🤣🤣🤣🤣🤣Niliona noma Kwa Mchungaji na Mwinjilisti
Ila Kuna watu walijiongeza, nilishangaa watu Wamelewa wakati kulikuwa na Maji na Soda tu 🙌
Kumbe jamaa walikuwa wanachanganya K vant kwenye Soda na Maji 🙌
Safi sanaKabisa yani unampigia mtu kama unamdai wakati ni vitu vya hiari me sitofanya hiki kitu ntakomaa na familia yangu tu labda pia na watu ambao nilishawachangia before.
Hizo ela za kufanya sherehe bora tufanye maendeleo na Mr.
Kwa hiyo huyu kenge nisimuamini Sana? Lkn sababu ya kufunga hiyo ndoa ni mimi maana nilitaka kumridhisha bibi yangu na sio wanafiki wachache kuja kufurahia matunda yangu maana kuna misoto mingi nilipitia baada ya kubaki bila wazazi.... Tunapanga tufunguke kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya ndoa.Hongereni Mkuu
Ndoa za Kanisani hulengwa na Wadada wengi hasa Ndoa za Makanisa ya RC/KKKT/Morevian/Anglikana maana hakuna kuachana
Unakumbuka ishu ya Mzee Mengi na Marehemu Mkewe?
Ilibidi kusubiri Mkewe kufariki ndiyo Mzee kuja kumwoa K Lynn
Kwahiyo Ndoa za Kanisani zinampa Kinga Mwanamke
Msosi ni nyumbani mchana tu jioni kila mtu aende kwake hakuna mambo ya ukumbi wala niniUnatoka Ibadani then Moja Kwa Moja Nyumbani.
Kama Kuna msosi unapigwa huko huko nyumbani🤗