Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Hivi ni vitu ambavyo havitakuwepo siku nitakayo funga ndoa
Pombe✖️
Mziki✖️
Ukumbi✖️
Mc's✖️
Michango✖️ Ukitoa kwa hiyari yako✔️

Sherehe haitakua ya gharama sana.
Unatoka Ibadani then Moja Kwa Moja Nyumbani.

Kama Kuna msosi unapigwa huko huko nyumbani🤗
 
Hata mimi ni

Yani kama mimi sitotaka sherehe yani nikitoka kanisan ni kupiga picha nzuri, twende honeymoon sehemu nzuri basi.
Ni kweli mna maanisha Mkuu?

Utafiti usio rasmi unaonesha Wanawake hupenda zaidi harusi kuliko Wanaume
 
Niliona noma Kwa Mchungaji na Mwinjilisti

Ila Kuna watu walijiongeza, nilishangaa watu Wamelewa wakati kulikuwa na Maji na Soda tu 🙌

Kumbe jamaa walikuwa wanachanganya K vant kwenye Soda na Maji 🙌
Babu unasali pentekosti revavial nini 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabisa yani unampigia mtu kama unamdai wakati ni vitu vya hiari me sitofanya hiki kitu ntakomaa na familia yangu tu labda pia na watu ambao nilishawachangia before.
Hizo ela za kufanya sherehe bora tufanye maendeleo na Mr.
Safi sana

Gharama za sherehe mnaweza kupanga na mwenza wako mkaenda kununua plot hata kule Kigamboni kwaajili ya kufanya Uwekezaji

Changamoto ni Wanawake kupenda sana sherehe hivyo kufanya Wanaume kutoboka mifuko kugharamia 🙌
 
Hongereni Mkuu

Ndoa za Kanisani hulengwa na Wadada wengi hasa Ndoa za Makanisa ya RC/KKKT/Morevian/Anglikana maana hakuna kuachana

Unakumbuka ishu ya Mzee Mengi na Marehemu Mkewe?

Ilibidi kusubiri Mkewe kufariki ndiyo Mzee kuja kumwoa K Lynn

Kwahiyo Ndoa za Kanisani zinampa Kinga Mwanamke
Kwa hiyo huyu kenge nisimuamini Sana? Lkn sababu ya kufunga hiyo ndoa ni mimi maana nilitaka kumridhisha bibi yangu na sio wanafiki wachache kuja kufurahia matunda yangu maana kuna misoto mingi nilipitia baada ya kubaki bila wazazi.... Tunapanga tufunguke kwenye maadhimisho ya miaka 25 ya ndoa.
 
Back
Top Bottom