Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtumishi mwenzetu alipiga ndoa ya m 15, baada ya miezi sita ndoa ikaota mbawa, hii haikubalikiNi kumuomba Mungu tu
Unaweza kuwa na Ndoa ya milioni 2 na bado ikavunjika mbele ya safari [emoji28]
Kwenye bold tuko pamojaHahahaha.............nadhani ile kutambiana na wenzake kwenye magroup yao huko Whatsapp yanachangia pia
Akiwa mtu mzima kiasi anakuwa na mtazamo wa kiutuuzima kidogo 🤗
🤣🤣🤣Hata kama utapata Singo Mama mwenye watoto 3, hakikisha na wewe anakuzalia watoto wako 4
Hiyo ndiyo principal yangu 🤗
Hayo mambo wanayoyataka ndo syapendi sasa utitiri wa watu ,eboooh!Hongera Mkuu
Ukiwa msichana wa pekee ama Mvulana wa pekee kwenye familia unapewa huduma za kiupendeleo sana kuliko hao wengine
Usishangae Wazee wakatoboka sana mifuko kwaajili yako 🤗
Sometimes kwenye mchezo wa mpira wa miguu mnaweza kuanza mechi mkiwa mmefungwa tatu bila kama mechi ya Ac Milan na Liveepool then mkaja kusawazisha mwishoni na kushinda kama Liverpool 😜🤣🤣🤣
Sio kwamba a man should start his own family?
Maandiko yanasema mwanamume atamwacha baba yake na mama yake na kuungana na mke wake na kuanzisha familia yake.
Maana kufanya maisha na single maza ni sawa na kujiunga kwenye familia ya mwanaume mwenzako.
Hiyo inauma sana Mkuu hasa Ukute ulichangisha michango ya hela ndefu Kwa watu 🙌Kuna mtumishi mwenzetu alipiga ndoa ya m 15, baada ya miezi sita ndoa ikaota mbawa, hii haikubaliki
Wali enjoy coz walikua wachache (about 50), lakini bado sio kwamba ilikua hela nyingi kihivyo, it was 2010 mkuu.Kwa kipindi hicho unaweza kukuta hiyo 2M ilifanya watu wale/wanywe na kusaza
Congrats Mkuu 👏👏
Hata hivyo nikupe hongera zako Mkuu, kugharamia sherehe ya harusi mwenyewe wengi hushindwa hadi wapate msaada wa michango 🙌Wali enjoy coz walikua wachache (about 50), lakini bado sio kwamba ilikua hela nyingi kihivyo, it was 2010 mkuu.
Hahaha..........eti huwezi kuingia una cheza 😅Yangu ita husisha ndugu na marafiki wachache tu after hapo ni sherehe ndogo kama Ulaya. Pigo za kuingia nacheza cheza sitaki.me na ndevu zangu niiingie nanesa nesa kwel
Hiyo sio fair Mkuu 😅Hebu piga hesabu, nitawachangisha 30000 single , 50,000 double halafu harusi ntasubiri mwezi wa mfungo inapigwa mchana.
Unapiga bonge la comeback sio!😅Sometimes kwenye mchezo wa mpira wa miguu mnaweza kuanza mechi mkiwa mmefungwa tatu bila kama mechi ya Ac Milan na Liveepool then mkaja kusawazisha mwishoni na kushinda kama Liverpool 😜
Labda vitendo vya kutetemekaWazee ni watu wa vitendo ujue 😜
Nmechekaa...Eti unachezaa cheza huku unasifiwa Sifiwa, kama sisi wenye aibu lazma hio siku ukunywe kdogo eboohYangu ita husisha ndugu na marafiki wachache tu after hapo ni sherehe ndogo kama Ulaya. Pigo za kuingia nacheza cheza sitaki.me na ndevu zangu niiingie nanesa nesa kwel