Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Hata kama utapata Singo Mama mwenye watoto 3, hakikisha na wewe anakuzalia watoto wako 4

Hiyo ndiyo principal yangu 🤗
🤣🤣🤣

Sio kwamba a man should start his own family?

Maandiko yanasema mwanamume atamwacha baba yake na mama yake na kuungana na mke wake na kuanzisha familia yake.

Maana kufanya maisha na single maza ni sawa na kujiunga kwenye familia ya mwanaume mwenzako.
 
Sometimes kwenye mchezo wa mpira wa miguu mnaweza kuanza mechi mkiwa mmefungwa tatu bila kama mechi ya Ac Milan na Liveepool then mkaja kusawazisha mwishoni na kushinda kama Liverpool 😜
 
Yangu ita husisha ndugu na marafiki wachache tu after hapo ni sherehe ndogo kama Ulaya. Pigo za kuingia nacheza cheza sitaki.me na ndevu zangu niiingie nanesa nesa kwel
 
Wali enjoy coz walikua wachache (about 50), lakini bado sio kwamba ilikua hela nyingi kihivyo, it was 2010 mkuu.
Hata hivyo nikupe hongera zako Mkuu, kugharamia sherehe ya harusi mwenyewe wengi hushindwa hadi wapate msaada wa michango 🙌

Kikubwa zaidi Ndoa yenu iweze kudumu 🙏
 
Yangu ita husisha ndugu na marafiki wachache tu after hapo ni sherehe ndogo kama Ulaya. Pigo za kuingia nacheza cheza sitaki.me na ndevu zangu niiingie nanesa nesa kwel
Hahaha..........eti huwezi kuingia una cheza 😅

Hiyo Mkuu ni lazima, maana Kuna watu wa Video na camera wanachukua matukio

Usisahau kupendeza, maana Siku hiyo utapiga picha nyingi za ukumbusho 🤗
 
Hebu piga hesabu, nitawachangisha 30000 single , 50,000 double halafu harusi ntasubiri mwezi wa mfungo inapigwa mchana.
Hiyo sio fair Mkuu 😅

Ila sijawahi kuona harusi za Ukumbini zikafanyika Mchana, yako itakuwa ya kwanza maybe 😜
 
Yangu ita husisha ndugu na marafiki wachache tu after hapo ni sherehe ndogo kama Ulaya. Pigo za kuingia nacheza cheza sitaki.me na ndevu zangu niiingie nanesa nesa kwel
Nmechekaa...Eti unachezaa cheza huku unasifiwa Sifiwa, kama sisi wenye aibu lazma hio siku ukunywe kdogo ebooh
 
Back
Top Bottom