Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha..........ndiyo maana kule juu nilisema, Harusi Siku zote ni ya Bibi harusiPublic Appreciation huwa ni one way response! watu watakusifia ila ile dhana ambayo ipo kichwani isipoendana na kile ambacho kinatokea, basi hapo ndoutasikia watu wanasema nilijua hata sherehe haitokuwa nzuri! Siku zote Bibi harusi huwa ana wageni wengi kuliko hata Bwana Harusi. Kadi 70 za Bibi harusi na kadi 30 za Bwana Harusi! Wageni 32 wa Bibi harusi na wageni 25 wa Bwana harusi.
Hahaha.......eti mwenyewe unaweza usihudhurie hiyo harusi 😅🙌Mimi harusi yangu,gharama zitakuwa ndogo Sana,watahudhuria watu wachache Sana,pengine hata Mimi nisiwepo.
Kwa hakika 1 Pet 3:7Hahahaha..........ndiyo maana kule juu nilisema, Harusi Siku zote ni ya Bibi harusi
Na huwa wanafosi sana kuhakikisha unatekeleza
Nitaangalia mkuu,Ila nna Shaka Kama nitakuwapo😂😂😂Hahaha.......eti mwenyewe unaweza usihudhurie hiyo harusi 😅🙌
Hakuna kuwakilishwa kwenye harusi, muoaji lazima uwepo Ukumbini 🤗
Siku zote ni muhimu na ni busara sana kuweka akiba/pesa ya dharura. Mfano huku kwetu tumeshazoea kumbi nyingi vinywaji unanunua hapohapo; kasoro maji ambayo mpishi huwa anakuja nayo. Siku hiyo nashangaa manager wa ukumbi ananipigia simu kwamba hatujalipia hela ya maji; inakuwaje as wao hawaruhusu maji ya kutoka nje. Aisee tulizinguana na yule manager ikabidi tu nilipie maji machache kama ushahidi; mengine ya mpishi nilibuni mbwinu zangu yakaingia.Tuipe hongera Kamati yako ya maandalizi, ilikushauri vizuri aisee 👏👏
Otherwise usingefanikiwa kutoboa
Hayo mambo yanaboa sana kusema kweli...Siku zote ni muhimu na ni busara sana kuweka akiba/pesa ya dharura. Mfano huku kwetu tumeshazoea kumbi nyingi vinywaji unanunua hapohapo; kasoro maji ambayo mpishi huwa anakuja nayo. Siku hiyo nashangaa manager wa ukumbi ananipigia simu kwamba hatujalipia hela ya maji; inakuwaje as wao hawaruhusu maji ya kutoka nje. Aisee tulizinguana na yule manager ikabidi tu nilipie maji machache kama ushahidi; mengine ya mpishi nilibuni mbwinu zangu yakaingia.
-Siku nyingine tumeshaweka budget ya mishikaki na mpishi; itachomewa hapohapo ukumbini. Mpishi anakuja na jiko lake; ndiyo Manager anasema lazima tulipie sehemu ya kuchomea (tutakapoweka jiko) na wakati ni hapohapo tu nje. Lile liukumbi mtcheeeeeeew.
"Contingency"...
At least hiyo ya kulipia vinywaji tumeshaikubali; ya kulazimishana hadi na chakula ununue kwao mmmmh.Hayo mambo yanaboa sana kusema kweli...
Ni as if, Watu wa Ukumbi wanafosi wawauzie Kila huduma including Vinywaji/chakula n.k.
Suala la akiba ni muhimu sana, otherwise unaweza kukuta unadaiwa fedha nyingi baada ya harusi.
Biashara ya Ukumbi ukipata center nzuri(kwasisi wadundulizaji wa biashara), naona kama inalipa, just thinking as harusi ni almost Kila wiki huwa zinafanyika
Jamaa wa Ukumbi Wana masharti sana Kwa kweli hadi yanaboa🙌At least hiyo ya kulipia vinywaji tumeshaikubali; ya kulazimishana hadi na chakula ununue kwao mmmmh.
Yeah kumbi za sherehe ni biashara nzuri kwa kweli; kama muda huu after Pasaka;kumbi zinagombaniwa mnooo. Cha msingi ni kuweka tu conditions ambazo zitawavutia zaidi watu waopt kuchagua ukumbi wako; sio unaweka conditions hadi wateja wanakukimbia.
Biashara zenye link na mambo ya harusi/sherehe; kwa kweli zinalipa.
Mwanzo mgumu kidogo; ila ukiweka kwenye prime area na ukapunguza masharti ya kidwanzi; aisee wewe kila alhamis na jumamosi ni upo booked.Jamaa wa Ukumbi Wana masharti sana Kwa kweli hadi yanaboa🙌
Biashara ya Ukumbi Kwa analysis nilizofanya, zinahitaji Mzunguko Mkubwa wa shughuli ili fedha utakayowekeza iweze kurudi.
Chukulia Kila Mwezi una-host sherehe 2, na gharama ya Ukumbi minimum iwe 1M Kwa tukio.
It means Kwa Mwezi utapata 2M na Kwa Mwaka utapata 24M
Ili kuweza kurudisha gharama za Uwekezaji ni lazima usubiri walau miaka 5 na zaidi
Japo sio mbaya sana
Umesema sahihi sana MkuuMwanzo mgumu kidogo; ila ukiweka kwenye prime area na ukapunguza masharti ya kidwanzi; aisee wewe kila alhamis na jumamosi ni upo booked.
Jana tulikwenda kufanya booking ukumbi fulani huku; aisee watu wameshafanya booking hadi harusi za September huko. Nafasi nyingi zimeshajaa.
Yeah biashara nyingi take time to break-even. Ni kuwa mvumilivu tu na kuangalia means za kuminimize risks