Ulitumia mbinu gani kumfanya Mtoto wako aache kulala chumbani kwako?

Ulitumia mbinu gani kumfanya Mtoto wako aache kulala chumbani kwako?

Nilimwambia mtoto wangu: "Sikiliza, kama utaendelea kulala hapa, ndoto zako zitabadilika utaanza kuota umelala chini ya mti wa kichawi!!

Ukikataa nitaanza kuleta ndege wa kizombi chumbani kwetu!

Dogo alikimbia chumbani kwake kwa kasi kama mtoto wa shujaa!
 
Hapo navuta picha angekua ni wife, ingetoka kauli moja tu na watoto wote wangesambaratika kwenye chumba chao
 
Back
Top Bottom