Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Sina kizaziDemi naomba mtoto..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina kizaziDemi naomba mtoto..
Wife material indeedWee kweli mke....
Mimi ni mzazi nimekaza kwa wote and wanaodopt within a month.....mimi nakuelewa, tatizo baadhi ya wachangiaji hapa wanapotosha kwa kuwa hawana watoto/hawana experience. Mzazi hawezi kulala usingizi wakati mtoto yupo mlangoni kwake analia
Vibaya hivyo ujue?? Twende wote hospitaliSina kizazi
Lala nao chumbani kwao kisha watotorokeHebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo 😀 😀 😀 😀😀😀
Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?
Tafuta mapicha ya kutisha tisha bandika ukutani mafuvu💀☠️☠️👽majeneza, madragons.
Watapakimbia wenyewe usiku...😆
We jamaa yani mtoto wa miaka 6 unalala nae kitanda kimoja?mimi wakwangu mmoja anamiaka 6 na mwingine anamiaka 3,, nijuzi tu wameanza kulala chumba chao napo ni baada ya huyu mkubwa kushangaza,, kaamka asubuh kaenda kufanya usafi chumba kingine halafu anatuambia leo nawahama nahamia kwenye chumba changu mimi na mdogo wangu,, hvo nakushauri hata hao wako waache ikifika muda wenyewe watahama.
Hii sio sawa kwa ustawi wa familia. Kila kitu inatakiwa familia ijumuike pamoja isipokuwa muda wa kulala tu watoto walale chumba chao.Kuna jamaa na mkewe wana watoto watano lakin jamaa na mkewe wanakula peke yao sebuleni na watoto wanalia jikoni na mfanyakaz na wakimaliza kula ni kulala
Yaan jamaa hakai sebuleni na watoto,afu kuanzia wa miaka 2 na wengine wanalala na beki 3
Dah!Tafuta mapicha ya kutisha tisha bandika ukutani mafuvu💀☠️☠️👽majeneza, madragons.
Watapakimbia wenyewe usiku...😆
ndioWe jamaa yani mtoto wa miaka 6 unalala nae kitanda kimoja?
😄😄😂Dah!
😁😁
Hizi hizi ndo unavukia barabara?😁
Mama yao anakuwa anapita pita,hata muda wa kulala anaenda kuwaangalia,kuna wakat alikuwa hafatilii wakat wa kulala hasa wanapopata wageni akajikuta watoto wakat mwingine wanalala bila neti ndo akaanza kuwa makinHii sio sawa kwa ustawi wa familia. Kila kitu inatakiwa familia ijumuike pamoja isipokuwa muda wa kulala tu watoto walale chumba chao.
Sasa huyo jamaa hata kula tu anawatenga watoto? Ana uhakika gani huko jikoni kama watoto wanakula vizuri wanashiba? Usikute beki tatu ndio anabugia minofu yote watoto wanaambulia mifupa tu.
Mkuu watoto mwanzoni wanaogopa Kula peke yao kwasababu ya vitu vya kutisha wanavyo viona mchana kupitia TV au Wanapocheza.Wahamishe tu weka ukauzu ukiwahurumia ety wanalia utalala nao hadi wawe wakubwa anza leo wapeleke chumba chao wakilia wambie atakae lala kesho namletea zawadi wakigoma wahadithie au wasomee hadithi watasinzia wenyewe, kama napo bado unawajua wanao tumia mbinu unazozijua lakini hakikisha kufikia jumapili wawe wamehama humo jumapili tunasubiri feedback mama wawili
Mama ndiyo analea watoto na siyo Baba, ukiona watoto wanamuogopa Mama na kumpenda Baba kaa ukijua malezi ya watoto yamekushinda. Mama haitakiwi mtoto kafanya makosa unamwambia ngoja baba aje.Huwa inatumika nguvu kuwatoa, vilio ni kama kunakuwa na Msiba mpk unajisikia vibaya Mtoto anavyolia mlangoni
ExactlyMnawadekeza sana watoto.
Ni kuwakunjia tu sura na kuwaambia ni marufuku kulala chumbani kwangu. Watoto wanaelewa.
Huyo wa miaka minne akielewa basi na mdogo wake ataelewa taratibu.
Wanagawa vizazi?Vibaya hivyo ujue?? Twende wote hospitali
Ndio. Watakutibu mke wangu..Wanagawa vizazi?