john issa
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 856
- 1,638
Jinsia gani kwani?Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo 😀 😀 😀 😀😀😀
Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?
Kama wa kike, wapeleke chumba kwao mbembleza hadi walale
Kama wa kiume fukuza chumbani kwako, Ata Kwa kulala usiwaonyeshe , watajua Wenyewe wakitaka walale sebuleni kwenye sofa