Wee kweli mke....Mnawadekeza sana watoto.
Ni kuwakunjia tu sura na kuwaambia ni marufuku kulala chumbani kwangu. Watoto wanaelewa.
Huyo wa miaka minne akielewa basi na mdogo wake ataelewa taratibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee kweli mke....Mnawadekeza sana watoto.
Ni kuwakunjia tu sura na kuwaambia ni marufuku kulala chumbani kwangu. Watoto wanaelewa.
Huyo wa miaka minne akielewa basi na mdogo wake ataelewa taratibu.
Akirudi inakuwaje? Bado wanakuja chumbani kuchungulia love making?Baba yao yupo ila kuna muda anakuwa mbali Kikazi ndio maana wamezoea kulala na mimi Chumbani
mimi wakwangu mmoja anamiaka 6 na mwingine anamiaka 3,, nijuzi tu wameanza kulala chumba chao napo ni baada ya huyu mkubwa kushangaza,, kaamka asubuh kaenda kufanya usafi chumba kingine halafu anatuambia leo nawahama nahamia kwenye chumba changu mimi na mdogo wangu,, hvo nakushauri hata hao wako waache ikifika muda wenyewe watahama.Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo 😀 😀 😀 😀😀😀
Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?
Haya ngoja tuone.Sijaona ulazima wa kutumia bakora hapa Mkuu, sitamani kuwa Mzazi ambaye Wazazi wangu walikuwa kwangu
Ni kusema nao tu. Kwamba unawaonyesha wao ni wakubwa sasa.Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo 😀 😀 😀 😀😀😀
Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?
Ongea Nao tararibuHebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo 😀 😀 😀 😀😀😀
Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?
Upumbavuh tu. Yaani kuna mbinu za kumwachisha mtoto kulala chumbani mwako? Badala ya kumpeleka tu anakotakiwa na kumwambia kuanzia sasa unalala hapa? Ndo maana mashoga wanazidi kuwa wengi.Hebu naomba mnisaidie hapa jaman ili niweze kuwahamisha hawa Watoto chumbani kwangu (Miaka 4&2). Imekuwa vita ya muda mrefu sana hawataki kulala kwenye Chumba chao, wanalazimisha kuendelea kulala kwangu
Hata nikisubiri walale halafu niwahamishe wakishtuka kwenye zoezi la kuhamishwa mtanange unaanza upya, walalia kama ndio wanakufa siku hiyo 😀 😀 😀 😀😀😀
Wenzangu mlifanyaje kwenye hili?
Ndo mnalea mashoga na matahirah.... Ni aibu hata kuandika haya maneno....Fanya utakachoona sahihi usilee mtoto eti kwa kuwa Kuna mtu alifanya hivi!
Mfano
Mapacha wangu wa kwanza nimelala nao mpaka miaka 8 wenyewe wakaanza kunikimbia na kwenda kwenye chumba Chao!!! Hawa wengine Wana miaka 7 na tunalala wote , lakini hapa kwangu Kuna chumba ambacho ni kama club Kuna muziki humu maana mume wangu ni mpenzi wa muziki sasa hicho chumba tumekiboresha tumeweka kitanda ,friji maana sisi ni walevi plus huo muziki sasa humo tumefanya special kwa ajili ya mizagamuo tu.... Kulala tunalala chumbani kama kawaida na watoto
Naaamini muda ukifika wenyewe wataomba uwaandalie chumba Chao.
kama babayao asipokuwepo si ulale nao tu?Baba yao yupo ila kuna muda anakuwa mbali Kikazi ndio maana wamezoea kulala na mimi Chumbani
Ina maana wazazi wako hawakukupa malezi ya kuwa mke bora na mzazi bora?Sijaona ulazima wa kutumia bakora hapa Mkuu, sitamani kuwa Mzazi ambaye Wazazi wangu walikuwa kwangu
Upumbavuh tu. Yaani kuna mbinu za kumwachisha mtoto kulala chumbani mwako? Badala ya kumpeleka tu anakotakiwa na kumwambia kuanzia sasa unalala hapa? Ndo maana mashoga wanazidi kuwa wengi.
Kusema ukweli hata mimi nimeona ni upumbavu.Upumbavuh tu. Yaani kuna mbinu za kumwachisha mtoto kulala chumbani mwako? Badala ya kumpeleka tu anakotakiwa na kumwambia kuanzia sasa unalala hapa? Ndo maana mashoga wanazidi kuwa wengi.