Nilimwambia mtoto wangu: "Sikiliza, kama utaendelea kulala hapa, ndoto zako zitabadilika utaanza kuota umelala chini ya mti wa kichawi!!
Ukikataa nitaanza kuleta ndege wa kizombi chumbani kwetu!
Dogo alikimbia chumbani kwake kwa kasi kama mtoto wa shujaa!