Ulitumia njia ipi kumwacha ex wako?

Tumewahi kuachana for good!

Tulijadiliana tukakubaliana kiroho safi kila mtu ashike hamsini zake.


Mpaka Leo tumebaki marafiki Hakuna aliye na Deni kwa mwenzie, ana wake na Mimi nna wangu but akipata shida huniambia na Kama kipo Nampa.

Maisha yanasonga wazo La kukumbushia halipo kabisaaa Kati yetu.
 
Sikumbishii hata!! Kumuacha mtu alafu iwe lawama, bora utengeneze mazingira akuache yeye, unakuwa na amani.
Ha ha ha ha! Ishanitokea hiyo, nikawa namtegea tu yeye ndio aamue mwenyewe atangaze ushindi.

Yaani siku alivyosema tu "nimewaza nimeona bora tu nikuache ili niendelee na maisha yangu" nikasema asante Mama. Yaani nikatoka ndukii mbayaaa!
 
Nami nina shida my kaka, hebu fanya fasta.
 
Makinikia yangu yamezuiwa na kuta za moyo wako, nasubiri smelter nichenjulie ndani kwa ndani kisha ndo nikulipe,[emoji12] [emoji12]
We leta viswahili tu[emoji57] [emoji57]
 
Ha ha ha ha! Ishanitokea hiyo, nikawa namtegea tu yeye ndio aamue mwenyewe atangaze ushindi.

Yaani siku alivyosema tu "nimewaza nimeona bora tu nikuache ili niendelee na maisha yangu" nikasema asante Mama. Yaani nikatoka ndukii mbayaaa!
Hahahaaaa! Tabia mbaya hiyo.
 
kunduva na mkafanikiwa kurudi huko zamani?
 
Nlimwambia nmechoka
Na mambo yako
Mlango ulioingilia ndo wa
Kutokea
 
Kufanikiwa kwenye nini haswa??
Tunaongelea mahusiano.. Heb ukishasoma usilazimishe kuelewa hapo hapo,kaa then tafakar kwa kina nilichoandika maana hata darasana ukishapewa lecture unakaa baadae ndio unaelewa zaid. Lakin ukisoma baada ya kusoma unarud pale pale duuuh unanipa (????). Hapa tunaongelea mahusiano then unaulizwa kufanikiwa kwenye nn haswa? Duh.. Eid njema
 
Mkuuu huyu dem tumeshera 95%
Kama huyo dem co ndugu na
Aliekua ex wang

Maana tabia hapo znafanana kabsaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…