Kwanza kabisa nitoe pole kwa changamoto zilizotukumba tangu tarehe 29-10-2025
Kwa upande wa pili hio ni siku ambayo internet ilizimwa hadi siku ya leo.
Kwa mara ya kwanza kwa miaka mitano nimecheza karata
Niliipikia familia yangu siku ya jumamosi chakula cha usiku, hadi wife na housegirl wakashangaa nlivyo fundi
Nilikuwa nafuatilia zaidi habari kwenye TV badala ya simu kama nilivyozoea, Nilikuwa nacheki BBC, Naenda Citizn TV, Nakuja k24, Naenda KBC, nahamia Al Jazeera. Muda mwingi channel zetu walikuwa wanahesabu.