GE2025 Ulitumiaje muda wako kwenye lockdown ya uchaguzi na Internet kuzimwa?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kwanza kabisa nitoe pole kwa changamoto zilizotukumba tangu tarehe 29-10-2025

Kwa upande wa pili hio ni siku ambayo internet ilizimwa hadi siku ya leo.

Kwa mara ya kwanza kwa miaka mitano nimecheza karata

Niliipikia familia yangu siku ya jumamosi chakula cha usiku, hadi wife na housegirl wakashangaa nlivyo fundi

Nilikuwa nafuatilia zaidi habari kwenye TV badala ya simu kama nilivyozoea, Nilikuwa nacheki BBC, Naenda Citizn TV, Nakuja k24, Naenda KBC, nahamia Al Jazeera. Muda mwingi channel zetu walikuwa wanahesabu.
 
Kwenye tv kulikua na habari gani zaidi ya Propaganda?bora ungewasimulia watoto hadithi
 
Nilitoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…