Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

Angekua bado yupo haondoki leo ningekuomba namba bro.

Sema waoga wa kupima wengi huanza kupima wao halafu ndiyo mnaenda kama couple yaani huyu hata hii formula kaikacha? Interesting
 
Afu inaonyesha yeye sio kivile kwako alitaka kukutunuku tu ww ulivyokuja na mambo ya kupima akaona unamzingua ndio maana hata ulivyosema mwachane hata hakustuka
 
Afu inaonyesha yeye sio kivile kwako alitaka kukutunuku tu ww ulivyokuja na mambo ya kupima akaona unamzingua ndio maana hata ulivyosema mwachane hata hakustuka
Vyovyote vile iwe ananipenda hanipendi, kupima ni lazima hataki basi akamtunuku mwingine tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…