Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

Uliwahi ku-date na mtu wa aina hii?

Uache tabia ya kusreen shot meseji private na kuzileta humu,ni utoto uliokubuhu ukikuwa uache.
Wanaume wengi wa JF hii ndio yao, ila kutwa kuwasema wanaume wenye silka ya kike, sasa sijui wao na hao wanao wasema wana tofauti gan lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wengi wa JF hii ndio yao, ila kutwa kuwasema wanaume wenye silka ya kike, sasa sijui wao na hao wanao wasema wana tofauti gan lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani condom inazuia ukimwi? Mi ukimwi huwa najikinga kwa kutumia mafuta mgando tu basi.
 
Hali ni ngumu hivoo!! Alijua keshakuweka kibla akubanike
afya yako ni ya muhimu sana
 
Good, kwa hiyo unakubaliana na swala la kwamba mtu anayeogopa kupima ni wa kuogopwa pia, regardless of whether anao au hana.
Nah, mimi naamini mtu anahitaji muda kukubaliana na akili yake ili kufanya hivo. Kwahiyo kama mtu hatokuwa tayari wakati huo mimi naelewa, na nitampa muda wa kujiandaa kufanya hivo.

Kwa mimi sitamwogopa mtu wa hivo, nitampa muda akiwa tayari ataniambia.
 
Kwahiyo Baada ya kuamka asubuhi ulimpa hela hata ya nauli?! Alafu inaoneoana wewe ni Ni Mwananchi, unasimamia misimamo yako Hongera,
Nilimpa nauli kiroho safi, tukapanda kiusafiri nikamfikisha sehemu ya kupandia usafiri wa umma mi nikaendelea na mambo yangu mjini
 
Sipati picha hapo sasa ww ndio ulikuwa upande wa ukutani mkuu au
Amna nilimuacha akalala ukutani kama kawaida yao.
Stori mbili tatu akiwa amenuna hata sikujali.
Kumekucha nikaoga zangu, nikamuamsha akaoga nikamwambia ajiandae tutoke. Fresh tukatoka
 
Nah, mimi naamini mtu anahitaji muda kukubaliana na akili yake ili kufanya hivo. Kwahiyo kama mtu hatokuwa tayari wakati huo mimi naelewa, na nitampa muda wa kujiandaa kufanya hivo.

Kwa mimi sitamwogopa mtu wa hivo, nitampa muda akiwa tayari ataniambia.

No, tunazungumzia mtu ambaye anakwambia hata umpe muda gani hatapima.
 
Nah, mimi naamini mtu anahitaji muda kukubaliana na akili yake ili kufanya hivo. Kwahiyo kama mtu hatokuwa tayari wakati huo mimi naelewa, na nitampa muda wa kujiandaa kufanya hivo.

Kwa mimi sitamwogopa mtu wa hivo, nitampa muda akiwa tayari ataniambia.
Hayuko tayari wala hahitaji muda. Hayo yote nilimwambia akasema hata iweje hawezi kuja kupima afya
 
'Mkoa fulani sitautaja'
Halafu kwenye screen shot inaonyesha dem alikuwa anaenda Mbagala [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom