Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Demu anaishi kwa maombi na miujiza tu na ndiyo maana hataki kupima. Hii inaonyesha kuwa hayuko makini na duka lake la ushirika, anagawa tu kwa wateja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi uvinza ungeenda,.Ningalikuwa mimi alooo..😀
Ah! Demu ndio maana kamkataa..! AhahaKweli kabisa na wewe umeona ilo
Hamna kitu huyo!Muwe mnaenda kupata ushauri nasaha inaonekana hata njia za kupata ukimwi huzijui yani kuvaa condom then ikipasuka basi unapata ukimwi are you you!!! Seriouslly au kuvaa condom vibaya nako kuna leta magonjwa au labda ulikuwa unakimbia UTI na kama ni ukimwi haumbukizwi ivo mzee
Ndio maana demu kamkataa...Ungekuwa unajua ukimwi unavyoweza kumpata mtu usingeogopa hvyo.
Kondom huwa naiamin 100%
Tena ukimwi wà siku hz hauna nguvu kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari sanaHamna kitu huyo!
Kamuona hajielewi paseeeNdio maana demu kamkataa...
Eeeh ahahaha!Kamuona hajielewi paseee
Kujitia uhodari sometimes Kuna dosari hapa kwangu ni wali waliwahahaha ajali ya gari inakuaa na minyege kibao
Sifanyagi hii michezo walahiHadi uvinza ungeenda,.
Usipoteze uhai kizembe kwa kisingizio una nguvu za kiumeKweli mwenye kisu ndio hula nyama
Mkuu meno huna
Unapohisi unajua na kuanza kunielimisha mimi. Kimsingi hunijui iwe kitaaluma wala uzoefu.Muwe mnaenda kupata ushauri nasaha inaonekana hata njia za kupata ukimwi huzijui yani kuvaa condom then ikipasuka basi unapata ukimwi are you you!!! Seriouslly au kuvaa condom vibaya nako kuna leta magonjwa au labda ulikuwa unakimbia UTI na kama ni ukimwi haumbukizwi ivo mzee
Haiwezi kuwa rahisi kiasi hicho.Kamuona hajielewi paseee
Kama UKIMWI ungekuwa unaambukiza kirahisi hivyo wengi wangeisha.Hata kama tutatumia kinga lakini ni vema tujue afya zetu kwa sababu kuna emergencies za kinga kupasuka, kinga kuvaliwa vibaya bila kujua au wakati wa kutoa kinga bahati mbaya ukawa contaminated.