Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Ni ujinga ujinga tu.. unaweza jifanya unakimbia ukimwi ambao ungeupata bado ungeweza kuishi miaka 20 mbele. Lakin ukapata corona au ajali ukafa ndani ya siku moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeeHadi uvinza ungeenda,.
safi sana mkuu, wanaume kama nyinyi wachache sana
We ni mfano wa kuigwa. Hiyo ndio maana ya busara. Busara lazima itawale maamuzi vinginevyo starehe ya dakika kadhaa inaweza kuleta majuto ya kudumu!!Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.
Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana.
Tukapata msosi tukaelekea location, sasa katika mazungumzo nikamwambia siwezi kufanya chochote kwa sababu ni muda kidogo hatujaonana.
Hata kama tutatumia kinga lakini ni vema tujue afya zetu kwa sababu kuna emergencies za kinga kupasuka, kinga kuvaliwa vibaya bila kujua au wakati wa kutoa kinga bahati mbaya ukawa contaminated.
Hapo ndio nilitonesha kidonda kilichoanza kupona, mjumbe kanikatalia katukatu hawezi kupima, niliona kama utani vile alivyokuwa akinikomalia kuonana namimi nikajisemea atalegeza tu, mpaka inafika 2 usiku kakaza, nikamwambia sili mzigo bila kipimo basi tumelala hadi asubuhi sijamgusa hakuamini kama fisi anaweza kulala na mbuzi buchani.
Asubuhi ya leo nimemwambia business iishe, huwezi kuamini ameunga mkono hoja.
Moral of the story: Uhai ni muhimu sana usibweteke na starehe ya sekunde moja
Hujui ngoma wewe. Au unadhani Malaria???!!Mimi ningekula tu
Watu wana masiharaHujui ngoma wewe. Au unadhani Malaria???!!
Umeshtuka..,?
Acha ushamba wako.Uache tabia ya kusreen shot meseji private na kuzileta humu,ni utoto uliokubuhu ukikuwa uache.
Hata nikivaa condom huyo mwanamke lazima apime HIV hataki alale mbele wala sina dhiki ya mapenzi[emoji23][emoji23]hahaha yaani ww jamaa unaakili kama za TFF Kuhairisha mechi ,nyie ndo wanaume mnaoshindwa kuvaa kondom huwa mnanisikitisha sana .
hahahahahaaha ww mzeee unampima unamuambia sasa tuko salama unachana condom mnaanza mambo shezi sana wwHata nikivaa condom huyo mwanamke lazima apime HIV hataki alale mbele wala sina dhiki ya mapenzi[emoji23][emoji23]
Si afadhali iwe ivo kuliko wanaoingia na condom alaf bahati mbaya imeachia utamu kunoga anaendelea[emoji1787][emoji1787]hahahahahaaha ww mzeee unampima unamuambia sasa tuko salama unachana condom mnaanza mambo shezi sana ww
Man uko makini sana. usikubali kuuza uhai wako in cheap way kiasi hiko.Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.