Uliwahi kuona nini WhatsApp status?


Mkuu umemaliza kila kitu.
 
Ukija kwangu na unguli wako wa kuangalia status unajua mtu yupoje umepotea. I never exposes my private life hata iweje, status nazoweka ni za kijinga kijinga tu zinazofurahisha.
We ni kama mimi kabisa
 
Situation ka hii ishawai nikuta,Nilikuwa namfowadia mtu porn nkasahau nkaituma on my status,Japo niliifuta haraka lakini Siku nzima niliishiwa amani kabisa,Ilifikia hatua nkahisi wabaya wangu wenye WhatsApp gb wanaweza kunirepot TCRA nishitakiwe kwa makosa ya mtandao.
 
Ndo hivo mzee kila MTU amezoea nn cha kufanya na cha kupost
 
Huyo sio kusudi asingepotea watsap baada ya.kugundua kajianika kwenye status
 
Kwenye birthday unakuta ana repost wote waliomu wish na kupost tena
 
Kuna hio moja kali kuna manzi alipost papa na tgo kwenye status huku akisema #hubby mknd umeanza kuzoea # wajuba wakascreenshot faster
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna mtu alipost ujinga masaa mabaya around kumi kasoro, within the second akafuta ila nikawa nishascreen shot, baada ya wiki nikamtumia inbox hakuamini maana kwake ilisoma 0 viewers.

Kupitia status unaweza kujuwa akili ya mtu katika kufikiri na kufanya maamuzi, baadhi pia wamekuwa wakionesha udhaifu wao wa kihisia hasa wanapo kabiliana na changamoto.
 
Alipost nini ...tuambie na sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…