kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
kuna demu alikuw anaweka status za vijembe,kwa siku anaweka zaid ya picha 10 na vijembe juu,siku moja nikamwambia akajibu ameshazoea kama naona inshu nifute namba tu.kweli nilifanya ivo
baada ya week mbili alinitafuta kama masiara nikauliza nan akajitambulisha tu fresh.akanambia hivi kingkongtz we sumesomea course ya afya.kuna nafasi zimetoka kambini nitumie copy nimpelekee mkuu maana tunaelewana sana.
nilichukulia kawaida ,niliamua kumtumia.asa nikaosave tena namba yake,kama kawaida yake vijembe sana nikaamua kumute status zake.
baada ya usaili kupita huwez amin nilipata kaz ,kwenye usail tulikuw weng wao walihitaji 9 tuu.na matokeo yangu ata sio mazuri kivile ila demu alisababisha.
adi leo namheshimu na ujinga wake anaopostig namuita dada kanizid miaka 4
HAPO NDO HUWA NASHINDWA KUELEWA DUNIA IPOJE.tuishi tu peace na kila mtu ,tusichukulie serious sana
Mkuu umemaliza kila kitu.