Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Aisee, kumbeeee
 
Nlinunua mkungu wa ndizi kwenye harambee baada ya kuona madem pale chapo nmenyoosha mkono wananiangalia kwa macho ya wewe shusha huo mkono uwezi panda hapo nikapandishana na wazee wale wa benki nikaishia laki mbili nilijua wangepanda zaidi ili niachie pale
Watu si wakauchuna laki mbili yangu ikanitoka nililia hadi kamasi
Nkaenda kuuza kwa mama ntilie kwa arubaini alfu
 
Hakuna chai sema acc yako ndo iko hovyo.
Premier wote hutoa zaidi ya 5mil atm kwa mikupuo 7 hadi 12

Kuna ATM zinatoa 600,000
Nyingine 400,000
Kwanini anasema chai? Si ni setting tu? Zinaweza zikabadilishwa muda wowote na siku yeyote na zikatake effect immediately au? ATM nyingi za Tz ndani zina cassettes 4 na kila cassettes inaweza ikaweka noti za zozote zile elfu 2000 mpaka 2500 so atm moja ikiwa loaded na hela kubwa kuliko zote tz ambayo ni 10000 inakuwa na 80M, kuna sababu nyingi za kutofautisha viwango vya watu kutoa pesa, tukiweka kila mtu aweze kutoa kiwango chochote haya ma ATM watu watakuwa wanayaukung'utisha fedha tutakuwa na kazi ngumu sana ya kuyajaza fedha every now and then sasa hii huwa ni kazi ngumu especially kwa offsite atms, ATM ndio biashara ya pili kuiingizia bank faida so lazima tutengeneze mazingira ya kupata yale makato, ndio mana kuna kutoa kwa mafungu... ATM za sehemu ambazo zina population kubwa kama mbagala huwa mabos hawataki zizime kabisa sababu wateja ni wengi zile ukikosea zinaweza zikakufukuzisha kazi.. 😂😂😂. OVA.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha Mimi nilikua pale Mubashara
 
.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mhhh hata siku moja,2018 nikaja kununua ya mtu nimtumie mkoani nilinunua 850k.
Simu imetoka 2014 hiyo,isingewezekana miaka miwili iporomoke namna hiyo.
Iphone 12 pro max nayo ina miaka 3 leo,embu kaulize dukani kama utaipata chini ya 1.8mln.

My bad timeline yangu ndo haikua sawa, 2017 ndo nili purchase iphone 6 plus kwa 500k na kulikua na option ya kuisubiri kutoka china kwa 350k!! Iphone 6 plus haija wahi uzwa 1.6m mwaka 2016!!! Hakuna hiyo kitu
 
Acha uongoo mzee...!! Umuch know sana nao tatizo hilooo...

My bad timeline yangu ndo haikua sawa, 2017 ndo nili purchase iphone 6 plus kwa 500k na kulikua na option ya kuisubiri kutoka china kwa 350k!! Iphone 6 plus haija wahi uzwa 1.6m mwaka 2016!!! Hakuna hiyo kitu. Na by then iphone 7 ilikua available kwa price hiyo it means ilikua ina range kati ya 2-3m haya wewe mjanja wa mjini tuambie kama hili lina ukweli??! Mshajionaga jamii forums ya baba yenu pumbavu.
 
Kwahiyo unawapa tu maisha hao mademu bila kuhitaji chochote sio mkuu???...Okay Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…