Uliwahi kuonesha jeuri ya pesa hata kama huna, ili kulinda heshima?

Mimi ndo nipo nasumbua ndugu hapa wanikopeshe walau alfu kumi.

Hii ni baada ya kulipia bili za watu wote niliowakuta mgahawani jana
Kwa tsh 86500.

Ni stori ndefu kidogo lakini tu kiufupi dharau zinaumiza sana.
Lakini tunaanza kukwita Brother😁😁
 
Na ndiyo maana mimi sitaki mashkaji mavi kama wewe.! Ni bora uwe alone tu kuliko uswahili uswahili wa kitu inaitwa ushkaji.
 
Kuna restaurant moja katikati ya mji Dar huwa mara kadhaa napenda kunywa chai jioni,sasa baadhi ya wahudumu wakawa wamenizoea na kunichukulia poa, yaani nakaa muda kusubiri mtu wa kunihudumia.

Sasa kukawa na meneja mpya anayewasimamia hao wahudumu akawa anamuelekeza muhudumu aje anisikilize.Kwa mbali nilinote yule muhudumu alichomwambia yule meneja wake kwamba yule ataagiza chai ya rangi tu (siko vibaya ktk kuisoma non verbals),hivyo alivyokuja nikambadililkia nikamwambia nahitaji wali samaki ambao bei yake ni 10,000. Muhudumu akaanza kujichekesha Kwa aibu akiuliza"kwani Leo hunywi chai" ,nikamwambia sihitaji chai.

Kifupi aliabika mbele ya yule aliyemuaminisha kuwa nitaagiza chai tu ,pia nilipoondoka niliacha tip nzuri tu ili kumfunza awe na heshima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mpaka sasa hii imenichekesha mpaka sana. Ngoja niendelee kusoma watu wana matukio asee
 
😂️ 😂️ bora ungeenda kuula tu lakin kwenye harambee kawaida unaweza nunua hata trey ya mayai kwa 50,000
 
unamfanyia emotional damage
 
Umenikumbusha mwaka jana hv , nimejipanga vyema kbsa kwaajili ya kujitoa ushamba kdogo na kumfurisha mtoto wa chuo

Cmu moja nkiwa dada hello (phin) salamu mengine hv nakuhtaj Tuwe wote kwa siku 2 hadi tatu maan ninaruhus kidogo napend tutumie wote


Tuanza vijiwanja wa (Dar ) tukala tukanywa na kutembea masaaa yanavyosogea kwakuw yeye anasoma chuo x morogoro nikasema isiwe tabu saa4 hv washa ndinga moro hii hapa mishale ya 6hv nikatafuta sehemu ya kula tukala akili yangu ikaniambia nichukue [emoji545] kwakuw ni majira saa7 kwenda saa8 usiku nikilipa nitatoka siku inayofata saa4 budget imesoma 50,000/- hotels sio mbaya maan nikama siku 2 kwa 1 asee mapokez wakazingua wanadai ukiingia saa8 hiyo kutok ni asubuhi saa4-5 hiv nikaanz kuvurugwa *****

Nikaona nisijichoshe acha nitafuta lodge kudadake ubishi uliishia pale ila nimejifunz tuu.
 
Mimi ndo nipo nasumbua ndugu hapa wanikopeshe walau alfu kumi.

Hii ni baada ya kulipia bili za watu wote niliowakuta mgahawani jana
Kwa tsh 86500.

Ni stori ndefu kidogo lakini tu kiufupi dharau zinaumiza sana.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni ngumu sana kujua binadamu mwengine anafikiria nini, iwe kwake au juu yako. Kitu ambacho kila mtu anasahau ni kwamba kila mtu anajifikiria yeye mwenyewe na anafikiria jinsi gani wewe unamfikiria yeye. Na wala hakuna anayejali kuhusu wewe au unachopitia wakati huo. Ego ni ile hali ya umimi, kila kitu kinahusu mimi, kila mtu anafikiria kuhusu mimi, mimi ndio main character nk. Lakini kila mtu ana ego na ego ndio ime take over kila akili ya binadamu. Expectations za juu na kujipa thamani kubwa kwa watu yote ni sababu ya Ego.

Hivyo ulichofanya sio kwamba umebadilisha mawazo yao juu yako, bali umebadilisha mawazo yako juu ya unachodhani wao wanachofikiria juu yako, umeiridhisha Ego yako. Kwenye maisha wewe sio main character wa movie na kila mtu anakuangalia wewe bali kila mtu ni main character wa maisha yake, wewe ni side character tu ambaye yupo kwenye background, mpita njia tu kwenye movie zao. Kugundua WEWE SIO MUHIMU kwenye maisha ya wengine ni zawadi kubwa sana na level kubwa ya kujitambua itakayokufanya kuwa free maishani.

Ndio kitu kitatokea kila mtu atakiona lakini baada ya sekunde 30 kila mtu anarudi kwenye movie ya maisha yake na anaendelea kujifikiria yeye. Hivyo ni kupoteza muda na resources kujali na kujaribu kubadilisha mitazamo ya wengine.

Irony ni kwamba hata mimi nasumbuliwa na hili tatizo la ego vilevile, and its huge than usual but I'm working on it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…